Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Ahahahahahah
Mambo ni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio kweli alitoa mahari bwana[emoji3][emoji16][emoji16]tusidanganyane hapa!
Ila nakumbuka alibadilisha dini akawa mlokole ili aolewe ndoa haikutokea [emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji11]shoga hapana
Ndoa Ya kimila wewe tafuta clip Yake na Sporah
 
Mbona Zari kampokea hamsemi au yeye ana haki zaidi ya kuliwa na mondi?

Hamisa na Dai wote wapuuzi bwana wee
Nasemaje Hamisa ni mpuuzi wa kiwango cha juu bora Zari hata msamaha anaombwa Missa hata sorry hapewi
 
Soma post zangu nishasema wote wale wale ila timu hizii wanamchukia mno misa
Sioni faida ya kunchukia huyo bint wanapoteza muda diamond anaangalia wapi ilipo fursa sifikirii kama hamisa ana fursa zaidi ya kuwa tegemezi diamond mjanja sana anakimbilia kwa zari kwa ajili ya kuitumia fursa hamisa angekuwa yupo vizur kibiashara angemuangusha zari mapema tu.
 
Ni kweli kabisaaa
 
Na thread imefungwa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji119][emoji119][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila mondi hamisa anampenda sana acha awe na zari anayependa mashow off kwaherini jamani sitaki mapovu ukiniquote mgazeti unapoteza mda huwa sisomagi

gombana na wote lakini sio mwanamke
zari ingia jf leo nahisi na simu utaitupa kwenye maji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tena alikua anakula waume za watu huku yeye ni mke wa kimila wa Ivan. Kwani unadhani Diamond alimpata kwenye ndege wakati anakuja bongo kusign business deal au?? Alikua anakuja kwa sponsor wake bongo. Yule Paul sijui Peter wa P square walikua na mahaba motooo akajua ataachana na Ivan aolewe yeye akaolewa mwenzie. Kuna yule mganda anamchambaga Zari anasemaga kule chini kwa Zari watu wanaweza kufanya UN summit maana mataifa yote yameshapita hapo
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3]hatwaaariii!mama weee!hawayaoni hayo kumbe nae ni home breaker ila alikutana na wajanja wenziwe[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]
 
Na thread imefungwa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji119][emoji119][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila mondi hamisa anampenda sana acha awe na zari anayependa mashow off kwaherini jamani sitaki mapovu ukiniquote mgazeti unapoteza mda huwa sisomagi
Imefungwa wapi
 
Back
Top Bottom