Ila jamani mtoto anaumaaa [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]kama kidondaaaaa!
Hata akiwa jamabazi siku akipigwa risasi utalia...
Hawa kina,Zar,Wema,Hamisa n.k sio kua walikua hawaonywi kwao hapana walishaamua kupinda toka enzi mpk mzazi unasema muacheni shauri yake...
Mtu kama Irene kiwia (sitasema mabaya yake) maana sasa hivi kashakua na status,Odemba,TK wote wale haswaa hawa Leo wabaojifanya madada wa status mjuni wameanzia huku kwa kina Misa sema back then hakukua na IG wala Facebook nawajua vzr tu machafu yao yooote wengine mpk kufukuzwa kwao kabisaa wakawa Santiago kwa kina Fide Sinza pale
Wengine wameambulia wazungu n.k wamekua wachamungu na mama maushari [emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]maisha hayaendi bila unaafiki jamani
Wengine wakaolewa na mabwana wa Dada zao !
Ila yote mzazi mwanawe akifanikiwa kwenye hizo njia anajiskia fahari etii..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hayo ndo maisha!
So mama Hamisa ana haki ya kumlilia mwanawe pia
Wengi humu haswa huku celebrity ni kizazi cha juzi hapa cha IG mna haki ya kumuona Hamisa malaya, mkaanza kumsifia Jack Mengi,mna haki ya kumuona Wema kahaba mkamsifia Zari maana ndo mliowakuta na mambo ya IG!
Wengine masupastaa wamewajulia jamii forum au kusoma kwa shigongo kiasi wawe hvyo[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo mboni anaonekana mdada wa nguvu[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]aiseehh!
So I do hope Hamisa is her time now..Siku moja atakuja kuheshimika sana tu hapa hapa bongo....tuombeni uzima!