Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Nasemaje Hamisa ni mpuuzi wa kiwango cha juu bora Zari hata msamaha anaombwa Missa hata sorry hapewi
Nasemaje hata huyo Zari wako kichaa tu,tena lofa mama km yule kuchezewa tako wanawe wako IG ni mwehu haswaaa!

Kwenye msiba wa mama ake anachezewa kinembee!

Hawara anazika msiba wa mama ako[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]yule ni fedhuli
 
Sioni faida ya kunchukia huyo bint wanapoteza muda diamond anaangalia wapi ilipo fursa sifikirii kama hamisa ana fursa zaidi ya kuwa tegemezi diamond mjanja sana anakimbilia kwa zari kwa ajili ya kuitumia fursa hamisa angekuwa yupo vizur kibiashara angemuangusha zari mapema tu.
Mbuyu ulianza kama mchicha
 
Na thread imefungwa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji119][emoji119][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila mondi hamisa anampenda sana acha awe na zari anayependa mashow off kwaherini jamani sitaki mapovu ukiniquote mgazeti unapoteza mda huwa sisomagi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]my shunie

Anachuma south anatumia Gorofani
 
Ndiwoooooooo anachuma south anakuja kutumia na tununu wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]my shunie

Anachuma south anatumia Gorofani
 
Sioni faida ya kunchukia huyo bint wanapoteza muda diamond anaangalia wapi ilipo fursa sifikirii kama hamisa ana fursa zaidi ya kuwa tegemezi diamond mjanja sana anakimbilia kwa zari kwa ajili ya kuitumia fursa hamisa angekuwa yupo vizur kibiashara angemuangusha zari mapema tu.
Hii ndo point ya msingi na nyie wanaume mwapenda mitelezo ya ganda la ndizi
 
Haya muende huko kwa Chaku kuna ujumbe wa Bosa wenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zari ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]

Watu wanamlilia ndani ya uzi huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lowlife wakisikia jina zari viroho vinawaumaaaa
Haya muende huko kwa Chaku kuna ujumbe wa Bosa wenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uzi mzima zari zari zariiiii zariiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bosslady yupo vizuri hadi kwenye uzi usiomhusu
 
Ila jamani mtoto anaumaaa [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]kama kidondaaaaa!

Hata akiwa jamabazi siku akipigwa risasi utalia...

Hawa kina,Zar,Wema,Hamisa n.k sio kua walikua hawaonywi kwao hapana walishaamua kupinda toka enzi mpk mzazi unasema muacheni shauri yake...

Mtu kama Irene kiwia (sitasema mabaya yake) maana sasa hivi kashakua na status,Odemba,TK wote wale haswaa hawa Leo wabaojifanya madada wa status mjuni wameanzia huku kwa kina Misa sema back then hakukua na IG wala Facebook nawajua vzr tu machafu yao yooote wengine mpk kufukuzwa kwao kabisaa wakawa Santiago kwa kina Fide Sinza pale

Wengine wameambulia wazungu n.k wamekua wachamungu na mama maushari [emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]maisha hayaendi bila unaafiki jamani

Wengine wakaolewa na mabwana wa Dada zao !

Ila yote mzazi mwanawe akifanikiwa kwenye hizo njia anajiskia fahari etii..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hayo ndo maisha!
So mama Hamisa ana haki ya kumlilia mwanawe pia

Wengi humu haswa huku celebrity ni kizazi cha juzi hapa cha IG mna haki ya kumuona Hamisa malaya, mkaanza kumsifia Jack Mengi,mna haki ya kumuona Wema kahaba mkamsifia Zari maana ndo mliowakuta na mambo ya IG!
Wengine masupastaa wamewajulia jamii forum au kusoma kwa shigongo kiasi wawe hvyo[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]

Leo mboni anaonekana mdada wa nguvu[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]aiseehh!

So I do hope Hamisa is her time now..Siku moja atakuja kuheshimika sana tu hapa hapa bongo....tuombeni uzima!
 
Back
Top Bottom