Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi mkuu.....nimejisikia aibu sanaaibu nimeona mimi
Watu wanatamanijeLimama lizuri kweli kweli, limenona hilo
Naomba nionyeshe mmoja[emoji23][emoji23][emoji23]Wamama wa instgram wamama wa mjiniii kugombania Ben10
Hahaha, ukiniambia nichague kati ya maza na mtoto mtu, aisee maza yupo bomba.ukiipata tukumbukane katka huo ufalme
duuuh we nawe kauzu kama mume wa bi sandra ama mume wa gigi pesaKila binadamu kamili anahitaji kukatika, kama pesa ipo mwacheni Mama Diamond achague kijana anayeweza kushughulika vizuri. Sasa nyinyi mlitaka awe na kibabu cha miaka 70? Sasa hizi pesa ni za kazi gani?
duuuh we nawe kauzu kama mume wa bi sandra ama mume wa gigi pesa
Anafaa kwa matumizi [emoji39] [emoji39] [emoji39]mamaake mobetto unamuonaje ?
[emoji1] [emoji1] [emoji1]huyu maza na mama yake dimond vijana tunawaita MILF, Mother I Would Love to Faki
Unanifurahishaga na hii kauli yakoaibu nimeona mimi
Duh! Inaelekea hizi familia 2 zimezungukana vya kitoshaAache hizo nae kwan kuna ajabu maana hamisa alishatoka na petit mume wa dada ake dai,kisha akakionja kiparachichi cha dai na juisi yake ndo hio anairingishia kila kukicha huku dai akigoma kuionja juisi yake kama vile haijatoka kwenye parachichi lake
Mmmh kuna picha zake huko insta dah!!!!!!mamaake mobetto unamuonaje ?