Mama Mobetto atoa ya moyoni sakata la kuporwa bwana na mama Diamond

Mama Mobetto atoa ya moyoni sakata la kuporwa bwana na mama Diamond

kumbe watoto huwa wanarithi hivi vitu kwa wazazi.familia za sodoma na Gomora
 
Hahahaaa dunia bhana
Kwahiyo Mond anatoa shikamoo baba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Usiombe yakukute aisee
Nyie ambao mama zenu wako hai ombeni Mungu waendelee kua na akili timamu vinginevyo aibu Kama hizi zitawakumba
 
Hivi maza kama huyo anawezaje kuwa na rafiki na huyo mario,
 
Kila binadamu kamili anahitaji kukatika, kama pesa ipo mwacheni Mama Diamond achague kijana anayeweza kushughulika vizuri. Sasa nyinyi mlitaka awe na kibabu cha miaka 70? Sasa hizi pesa ni za kazi gani?
duuuh we nawe kauzu kama mume wa bi sandra ama mume wa gigi pesa
 
Hawa wamama wawili wanapenda dyudyu balaa...yaani wao kwao kumekucha

So sad!
 
Kwa mama kama huyu ulitegemea tabia ya aina gani kwa Hamisa?!
Mtoto wa nyoka....
 
Aache hizo nae kwan kuna ajabu maana hamisa alishatoka na petit mume wa dada ake dai,kisha akakionja kiparachichi cha dai na juisi yake ndo hio anairingishia kila kukicha huku dai akigoma kuionja juisi yake kama vile haijatoka kwenye parachichi lake
Duh! Inaelekea hizi familia 2 zimezungukana vya kitosha
 
Back
Top Bottom