Mama Mongella - Aghushi na Kutafuna Mamillioni Ya Pesa!

Mama Mongella - Aghushi na Kutafuna Mamillioni Ya Pesa!

FMES,

Kwanini ni makosa kwa mkwe wa mama mongella kuajiriwa bunge la AU? Majukumu ya Mama Mongela si ya kila siku ktk Bunge hilo? Spika wa Bunge anaongoza vikao tu, si mtendaji wa kila siku wa Bunge la AU.
 
jokakuu unajua kitu kinaitwa "influence peddling"? Kama mama katumia cheo chake mkwe apitishwe ni kosa kubwa.
 
Pundit,

kama alikwenda akamshinikiza Katibu wa Bunge la AU akiuke taratibu na amuajiri mkwe wake hapo kutakuwa na matatizo. kinyume cha hivyo nadhani mkwe wa mama mongella ana haki ya kuajiriwa huko.

mara nyingi haya masuala ya conflict of interest yanategemea pia nafasi na vyeo vya wanandugu ktk taasisi husika. kama mmoja ni very low ranking kiasi kwamba maamuzi yao hayaingiliani basi kigezo cha conflict of interest huwa hakitiliwi maanani.

kama utanielewa ni kwamba bado nadai "specifics" za madai kwamba mama mongella ameajiri ndugu zake huko AU.
 
...................Kama among one of 'Malecelas' JSM au mtoto wake akija hapa JF na kusema if they are the most educated na .............!

kuna tofauti kubwa mtu ukisema most educated na mwingine akisema well educated/qualified...............sikumbuki kuona neno most educated likitumika kuwatambulisha the Malecela's children.

Hapa mada ni Mongella.....yes lakini kuna watu wame-querry kuwa tusimlaumu Mongella na kumgusa Malecela na watoto wake kama mfano sawa na wa Mongella............hivyo FMES anajaribu kuwaelimisha watu hapa kuwa these are two different scenarios.......which I (Ogah) personaly agree
 
watanzania ni watu wa ajabu sana. yaani akikuzida shule ya chekechea basi anatarajia kwamba ni haki yake toka kwa Mwenyezi Mungu akushinde chuo kikuu na hata kazini.

Mwelecela ana PhD toka London University, ana uzoefu wa kazi wa muda mrefu tu. Lakini bado Watanzania wanamsengenya kwasababu kuna waliokuwa na GPA nzuri kuliko yake for her bachelors degree.

Dr.Seche Malecela anajulikana kwamba ni kipanga toka sekondari mpaka Muhimbili. Ninavyoelewa mimi Muhimbili is the toughest college in Tanzania. Kwa msingi huo nawaheshimu wahitimu wote waliotokea Muhimbili.

Sikubaliani na mengi anayosema FMES au approach yake kwa masuala mbalimbali. Lakini hili la watoto wa Malecela[Mwele & Seche] niko pamoja naye 100%.

Katika viongozi wetu wa awamu ya kwanza nadhani Malecela na Msuya wamejitahidi sana katika malezi na elimu. Huwezi kusikia vijana wao wamepigana ktk baa, au wameshitakiwa kwa domestic violence.

NB:
wako watoto wa viongozi wanaokunywa baa na kukataa kulipa.wengine wanatia ngeu spouces wao kwasababu wao ni watoto wa wakubwa.

Jokakuu,

Hao hao wanaojiita vipanga ndio wameangusha mashirika yetu, wanafumua vichwa badala ya miguu nk.

Tuache ujinga wa umetoka na points ngapi form four, six au mlimani, muhimu unajua nini na ni nini contribution yako katika jamii.

Kusoma vizuri ni muhimu lakini kama tu kutaongozana na kazi nzuri na mafanikio mazuri kazini.

Mtu aliye na mafanikio kazini ni bora mara ngapi kuliko degree ya first class ya jamaa wa wizara ya fedha au TRA ambaye akikutana na Makaburu, miguu inatetemeka.

Tumezidi kupenda sifa ambazo haziendani na utendaji kabisa. Unakuta mtu katundika mavyeti ukutani, kwanini hamtundiki projects za maana mlizosimamia na zikafanikiwa?
 
Vita vya Nyerere na Malecela vinanikumbusha mambo mengi sana na asili yake Nyerere na nafikiri udini aliokuwa nao Nyerere

1. nakumbuka Biafra..........Nyerere aliwa-support...............eti kwa kuwa Biafra walidai kunyanyaswa na Hausa (mostly moslems)

2. Uhusiano wa karibu Mwinyi na Malecela nakumbuka.....mpaka watu wakasema siku hizi JSM anaitwa Jumanne............oohh mara kachukua pesa toka Iran..................oooh mara atatuingiza OIC....................oooh mara atavunja muungano........and on and on and all kind of prejudices

JKN kutupa che Mkapa na kutuambia ni Mr Clean....kwa kweli pale alibugi step kwa mara ya pili......maana ya kwanza ilikuwa ni kukataa ushauri wa Mtei.

Back to Mongella
Mama umetuaibisha.............please resign........angalau utarejesha kaimani kidogo ya kwamba wewe ni responsible!
 
Mtanzania,

mambo ya GPA ni muhimu ukiwa fresh from Mlimani. Lakini miaka 10 uko kazini na umeshapata hata na PhD bado unaulizwa GPA huko ni kuoneana. hicho ndicho mchangiaji mmoja alichotaka kukifanya kwa Mwele kwasababu tu ni mwanaye Cygwiyemwisi John Malecela.

Uzoefu wa kazi na rekodi ya utendaji na matokeo ya kazi ni vitu muhimu sana. Nakubaliana na wewe mia kwa mia. kitu kingine ni uwezo wa kujifunza mambo mapya ktk mazingira ya kazi.

Samahani kwa kutoka nje ya mada....
 
JKN kutupa che Mkapa na kutuambia ni Mr Clean....kwa kweli pale alibugi step kwa mara ya pili......maana ya kwanza ilikuwa ni kukataa ushauri wa Mtei.

JKN hatumtendei haki, mwalimu hakubugi stepu, wewe na mimi tuliopiga kura ndo tulibugi stepu!! iweje mtu mmoja atudanganye taifa zima? huoni kwamba sisi tuliompigia kura Mkapa ndo wenye tatizo? kama mtu mmoja Nyerere alikuwa na uwezo wa kuliambia taifa zima kitu na sisi tunakubali bila kuhoji (tena siyo kulazimishwa bali kwa kupiga kura tena ya siri!!) Do you really think mwalimu analakulaumiwa na ujinga wa Ben? nadhani sisi wapiga kura ndo malofa! let mwalimu rest in peace!
 
Masanja, JKN ana lawama yake, Mkapa ana lawama yake na watanzania wana lawama yao.

Kitu kimoja nilichojifunza katika siasa za Tanzania, hasa CCM, ni kuwa hata the "Mr. Cleans" (Mkapa) and "vijana waadilifu" (Kikwete) wanakuwa sio kweli wasafi na waadilifu, ni geresha tu za kuficha makucha kwa sababu wanatafuta the topmost position.

Wanasema a man is as honest as his option, sasa Mkapa alivyokuwa chini ya Nyerere na Mweinyi alijifanya "Mr. Clean" sana kujenga trust, lakini ukweli umejidhihirisha baada ya kupewa u-CEO wa nchi tumeona alivyojimegea mapande kama Kiwira na kuchukua longolongo za mi-Range Rover ya kina Chande.

Kikwete ndiyo kabisa, kila kukicha jipya, na sad to say, siyo kama nashabikia au nini.Inaonekana kama hawa viongozi hawajali sasa Tanzania inaelekea kwenye "Mobutuism" wazi wazi, kwa hiyo ni tabu sana kujua nani mwadilifu nani siyo ndani ya CCM.
 
Mtanzania,

mambo ya GPA ni muhimu ukiwa fresh from Mlimani. Lakini miaka 10 uko kazini na umeshapata hata na PhD bado unaulizwa GPA huko ni kuoneana. hicho ndicho mchangiaji mmoja alichotaka kukifanya kwa Mwele kwasababu tu ni mwanaye Cygwiyemwisi John Malecela.

Uzoefu wa kazi na rekodi ya utendaji na matokeo ya kazi ni vitu muhimu sana. Nakubaliana na wewe mia kwa mia. kitu kingine ni uwezo wa kujifunza mambo mapya ktk mazingira ya kazi.

Samahani kwa kutoka nje ya mada....

Jokakuu,
Naona tunatoka nje ya mada! inasemaekana kuwa GPA kujiunga na Utafiti Afya ilikuwa juu- strong upper second au first class- ili waajiriwe watu watakaoweza kupambana na dunia ya utafiti- yaani miaka ya 1980s mishahara ya Utafiti Wizara Afya ilikuwa bora kuliko hata waalimu Mlimani.

Ukwiukwaji maadili ni pale mama mtoto (Marehemu) anamleta ofsini mtoto wa Malecela na kuomba mtoto wake ana GPA ndogo afikiriwe kwani anapenda utafiti! Kisha anaajiriwa! (hata kama baadae alikuwa Prof. hapo baadae haina neno!)

Je kuna mtoto wa mkulima aliyekosa nafasi kutokana na huu ushawishi? Je nafasi ya Mzee JSM ilitumika kwa Mwele kuajiriwa? Je angekuwa mtoto wa mkulima toka Kibondo ameletwa na Baba yake Mkulima na ana GPA ndogo je nae angeajiriwa?

Is this equal opportunity? Je kuna upendeleo?

Haya mambo yapo nchi nyingi na sehemu zingine Tz- watu wanajua na wanavumilia!

But, ES anavyotamba kuwa JSM ana watoto wana vichwa kupita Watz wengi US huja kutoa mhadhara na JSM mara nyingi tu- na watoto wa viongozi wengine tunavuta bangi na hawana elimu sii lolote- kwani hao watoto wa viongozi wengine ni jambo gani waliwakosea wazee wao au Mzee wetu JSM ili na wao angalau wafanane kama Watoto wa JSM? Kama Watoto wengine Watz tunajiskije?

Hii ndo hoja iko hapa JF tuijadili tu kwa uwazi hatuna la kuficha!
 
Jokakuu,
Naona tunatoka nje ya mada! inasemaekana kuwa GPA kujiunga na Utafiti Afya ilikuwa juu- strong upper second au first class- ili waajiriwe watu watakaoweza kupambana na dunia ya utafiti- yaani miaka ya 1980s mishahara ya Utafiti Wizara Afya ilikuwa bora kuliko hata waalimu Mlimani.

Ukwiukwaji maadili ni pale mama mtoto (Marehemu) anamleta ofsini mtoto wa Malecela na kuomba mtoto wake ana GPA ndogo afikiriwe kwani anapenda utafiti! Kisha naajiriwa! (hata kama baadae alikuwa Prof. hapa baadae haina neno!)

Je kuna mtoto wa mkulima aliyekosa nafasi kutokana na huu ushawishi? Je nafasi ya Mzee JSM ilitumika kwa Mwele kuajiriwa? Je angekuwa mtoto wa mkulima toka Kibondo ameletwa na Baba yake Mkulima na ana GPA ndogo je nae angeajiriwa?

Is this equal opportunity? Je kuna upendeleo?

Haya mambo yapo nchi nyingi na sehemu zingine Tz- watu wanajua na wanavumilia!

But, ES anavyotamba kuwa JSM ana watoto wana vichwa kupita Watz wengi US huja kutoa mhadhara na JSM mara nyingi tu- na watoto wa viongozi wengine tunavuta bangi na hawana elimu sii lolote- kwani hao watoto wa viongozi wengine ni jambo gani waliwakosea wazee wao au Mzee wetu JSM ili na sisi angalau tufanane kama Watoto wa JSM? Kama Watoto wengine Watz tunajiskije?

Hii ndo hoja iko hapa JF tuijadili tu kwa uwazi hatuna la kuficha!

Mzee upo kumbe kwenye echelons, naona mambo ya Freudian slips and all...
 
Kigeugeu,

hili suala la watu kupewa kazi kwa kutumia wajomba zao liko sana Tanzania. Kwa upande wangu naona kama ndiyo utaratibu wa kupata kazi hapa Bongo.

Binafsi nafahamu watoto wa walalahoi waliopewa kazi kwa kumtumia Mzee Cygwiyemwisi John Malecela. Katika mambo yote mtakayosema kuhusu Mzee huyu, jambo moja huyu Mzee hana roho mbaya.

This is an old story na ningependekeza uachane nayo tu. Huyo Mwelecela tayari ame-excel ktk kazi yake kiasi cha kupata PhD toka London University. Kama unaona kuna ulazima kuijadili hoja hii naomba uanzishe thread yake na uthibitishe yafuatayo:-

1.wako vijana ambao walinyimwa nafasi kwasababu ya shinikizo la Malecela kutaka mwanawe apewe nafasi.

2.Mwelecela alipata kazi kwa shinikizo la Baba yake, na siyo huruma ya Mkurugenzi kwa Mama[rip] yake.

3.Mwelecela ndiye mwombaji pekee aliyeajiriwa kwa kukiuka taratibu.

4.Utendaji kazi wa Mwelecela Malecela[phD] umekuwa wa kiwango cha chini kulinganisha na wenzake alioajiriwa nao pamoja.
 
watanzania ni watu wa ajabu sana. yaani akikuzida shule ya chekechea basi anatarajia kwamba ni haki yake toka kwa Mwenyezi Mungu akushinde chuo kikuu na hata kazini.

Mwelecela ana PhD toka London University, ana uzoefu wa kazi wa muda mrefu tu. Lakini bado Watanzania wanamsengenya kwasababu kuna waliokuwa na GPA nzuri kuliko yake for her bachelors degree.

Dr.Seche Malecela anajulikana kwamba ni kipanga toka sekondari mpaka Muhimbili. Ninavyoelewa mimi Muhimbili is the toughest college in Tanzania. Kwa msingi huo nawaheshimu wahitimu wote waliotokea Muhimbili.

Sikubaliani na mengi anayosema FMES au approach yake kwa masuala mbalimbali. Lakini hili la watoto wa Malecela[Mwele & Seche] niko pamoja naye 100%.

Katika viongozi wetu wa awamu ya kwanza nadhani Malecela na Msuya wamejitahidi sana katika malezi na elimu. Huwezi kusikia vijana wao wamepigana ktk baa, au wameshitakiwa kwa domestic violence.

NB:
wako watoto wa viongozi wanaokunywa baa na kukataa kulipa.wengine wanatia ngeu spouces wao kwasababu wao ni watoto wa wakubwa.

Jokakuu:

Unajua tena ni lazima watu waunganishe dots. Mtoto anarithi genes za baba na za mama. Na kuna familia nyingi tu za wakubwa ambazo baba anakuwa na mambo ya ajabu ajabu na mama anachukua majukumu ya kulea familia. Na kuna familia ambazo baba anachukua majukumu makubwa na mama anapotosha vijana (U-kinjeketile). Na kuna familia ambazo baba na mama wanafanya vizuri au wote wanafanya vibaya katika malezi.

Kwa maoni yangu, wizi ni Profession. Alichofanya mama Mongela ni wizi na hiyo tabia aliianza zamani. Na kilichotokea sasa ni za mwizi arobaini.

Huyu mama ni mtu mzima sana na inakuwaje ameweza kuilaghai nchi, watu na jumuia za kimataifa kwa muda wote huo. Kuna ubovu katika system yetu ya kulea watu wenye matatizo kwa muda mrefu. Na yanapotokea matatizo, watu hawajizuii kuunganisha dots japokuwa zingine hazina ukweli.

Kupata Phd ni kitu cha kawaida kwa wenye kupata nafasi cha muhimu WHAT YOU BRING ON THE TABLE WITH YOUR PHD. Vile vile GPA kubwa haina maana nje ya academy kama huwezi kubadilisha vumbi kuwa sambusa.
 
All is right Heshima mbele Wakuu JF,

Salamu kwa wachangiaji wote walioshiriki hapa elimu kali sana maana kama kawaida nimetumiwa ujumbe mwingi kutoka kwa wananchi mbali mbali kuhusiana na hii ishu, na kama kawaida wembe wangu ni ule ule kwamba kiongozi, au mwananchi akitukanwa hapa bila hoja huwa sifikirii mara mbili, especailly kama ninamfahamu, in the past nimeshamtetea with all my strength, kuanzia Freeman, Mramba, Mnauye, Sozigwa, Zitto, Dr. Slaa, Kibelloh, Dr. Mahiga, Mama Migiro, Dr. Bilali, Caroline, Malecela, na wengineo wengi sana, lakini ninaomba niseme tena,

1. Ishu ya Malecela, naomba ku-retire, yaliyosemwa yametosha, kama elimu nafikiri imeshapatikana ya kutosha, binafsi sina la kuongeza ila ninashukuru sana kina Kigeu geu na TZdevil, Kichuguu kwa elimu nzito waliyoitoa on the ishu,

2. Mama Mongella:-

Ninamfahamu kwa karibu kwa muda mrefu sana, nimewahi kumtembelea mara nyingi tu kule Makongo, anakoishi na pia alipokuwa akiishi NY pale East 44TH Street kwenye apartment, wakati akitayarisha mkutano wa Beijing, nilikuwa mara kwa mara ninamtembelea pale kula siasa, very respectful woman very intelligent, na ni kiongozi pia. Ninakumbuka at one time jinsi Columbia University, walivyokuwa wakimlilia ajiunge na shule yao kama Professor baada ya kumaliza Beijing, wazee kuombwa na shule kama hiyo huko US sio suala la mchezo, tena Muafrika!

Ninakumbuka mama akikataa offer hiyo ya Columbia, kwa sababu macho yake politically, yalikuwa kwenye u-Katibu wa UN, au urais wa bongo, na ninakumbuka siku el aliporudishwa Cabinet, the plan ilikuwa kuwarudisha pamoja na huyu mama, lakini huyu mama akakataa na kudai labda awe PM, na not less, ndio kwa mara ya kwanza nikashituka kuwa huyu mama sio mchezo ni serious deal huyu, all this time ninajua all positive kuhusu uongozi wake, mpaka Bob Mkandara, alipokuja kunishitua kule BCS, kuwa huyu mama sivyo kama ninavyomuona, lakini sikuamini, mpaka mshikaji wangu wa karibu Komando, alipogombea naye ubunge kule Ukerewe na kushindwa naye pamoja na kwamba kuna kipindi mwanzoni alikuwa akielekea kumshinda huyu Mama, ndio kwa mara ya kwanza nikapata picha ya karibu zaidi, ingawa ninakumbuka incident moja ya kwenye party ya kumpongeza huyu mama kuchaguliwa kwake kutayarisha Beijing, mama alipoiingia ukumbini wafanyakazi wengi wa nje waliokuwepo pale walimpigia makofi huku wakiwa wamekaa, kesho yake mkuu wa ile sherehe akanifahamisha kuwa mama amefikisha malalamiko Foreign kuwa wafanyakazi hao waliokuwepo kwenye ile party, wamemkosea adabu kwani hawakusimama alipoingia, sikuamini kabisaa kuwa ni kweli mpaka nilipokwenda kuwatetea kwa bosi zaidi kuwa haikuwa kweli, na mimi binafsi kwenda kumuomba mama samahani na aiache hiyo ishu, kwani isingeweza kumsaidia kisiasa, akakubali.

Aliporudi bongo kutoka NY, mama alianza kwanza kampeni ya kutaka ubalozi wa UN, ili umpe nafasi ya kukisogelea kiti cha katibu mkuu UN wakati huo Ghali, akiwa kwenye matatizo mengi sana na US, na huyu mama alishakuwa karibu sana na First Lady wa US, wakati huo Mama Clinton, maana ndiye hasa aliyekuwa behind ule mkutano wa Beijing, tena ninakumbuka huyu mama akimpigia simu siku moja Mama Mongella nikiwa naye. Mbinu zake kwenda UN zikashindwa kwa sababu aliyekuwepo pale UN, alishagutuka, akaanza kumtumia Kawawa, kujilinda, ndipo mama akaamua kujirusha kwenye urais, Scandinavians, wakawa wa kwanza kumsaidia maana wao wana usongo sana na sisi, hasa CCM kutokana na kula hela zao sana za misaaada, huko nyuma walishajaribu sana kumsaidia Mrema, lakini akaishia tu kuwa mbunge wa Temeke kwa juhudi zao hawa Scandnavians, this time wakaamua kumbeba huyu mama by any means necessary, lakini CCM wakashituka mapema, plan ya kwanza ilikuwa kumpeleka EAC, mama akakataaa, ndipo wakamuomba Mandela, awasaidie kumpa u-Spika wa AU, ili aondoke hapa bongo asiwasumbue kwenye urais, Spika wa bunge la SA aliyekuwa na nafasi kubwa ya kuwa Spika wa AU, akaombwa na Mandela na kumpisha huyu mama, since then nimekuwa nikiamini kuwa siku moja atakuwa rais tu wa bongo, mara ya mwisho niliongea naye kwa simu akiwa Airport, anaelekea Cuba, miezi kama mitatu iliyopita,

Sasa now comes this, kwa kweli nimesikitishwa sana, na pia ni lazima nimuombe radhi mkuu Bob kwamba alikuwa right siku zote, kuna wakati mmoja mtoto wake alifanya vituko sana US kuhusiana na Credit Cards, lakini bado nilikataa kumuangalia mama kwa jicho la wasi wasi, ambalo siku zote huwa ninakuwa nalo kuhusiana na wanasiasa, lakini sasa I can see everything clear, kumhurumia siwezi maana aliyoyafanya sio bahati mbaya, ni lazima kulikuwa na pattern ya muda mrefu ila ilikuwa imefumbiwa macho, either by our system au ya kwake binafsi,

kweli mficha ugonjwa hufichuliwa na kifo, ninasubiri the right time nikutane naye uso kwa uso, na nimwambie wazi of how much I have been disappointed, ni majuzi tu nilikuwa kwenye kilio cha Marehemu Mzee Chiume, I spent muda mwingi kuongea na mdogo wake mama Mongella pale, not knowing kuwa kuna hili soo, maana ningemuuliza what happened?

Ujumbe kwa viongozi wetu wa bongo, ni kwamba hii ni changamoto nzito sana kwenu, hata Mwalimu angekuwepo leo sijui angeliaje machozi kuona mmoja wa kipenzi chake akiingizwa kwenye hili soo? Viongozi wetu magonjwa yenu yaacheni hapa bongo mnapokwenda nje kutuwakilisha, ingekuwa US au Europe, basi by now kungekuwa na follow up ya kila mahali alipowahi kufanyakazi huyu mama, lakini bongo ndio kwanza atakuwa waziri soon, maana "....Huyu ni mwenzetu huyu..."

Mungu Aibariki Tanzania Yetu!
 
1.

Mkuu Kichuguu,ndio hasa maana ya kuwepo hapa JF ni kuweka mambo hadharani, tunasema hivi ya Mama Mongella yamewekwa hadharani, sasa kama una dataz jinsi Malecela influence ilivyotumika kuwaajiri watoto wake, mmoja mwenye PHD wizara ya Afya, Mwanasheria wa serikali wizara ya sheria, na mwanasheria wizara ya nje, na mkwe wake aliyeajiriwa ubalozi wetu Brussles akiwa mtoto wa makamu wa mwenyekiti wa Chadema, kwa nini usiuweke hapa? Tunasema hapo hapakuwa na influence bali ni uwezo kishule na kikazi maana so far hatujasikia malalamiko kwenye sehemu zao za kazi kama yaliyomkuta Mama Mongella, unless na wewe unaunga mkono maneno ya watoto wa viongozi wasifanye kazi maana sehemu wanazozifanyia kazi hawa wakuu tunazijua na wananchi wa huko wanafahamika na hatujasikia maneno sasa kwa nini usiweke wazi jinsi influence ya baba yao ilivyotumika kama ya Mongella kuajiri mke wa mtoto wake mbayo ndio hasa point ya msingi hapa mkuu? Influence ya Malecela ilitumika wapi kwenye seshsmu ya uajiri mkuu?

2. (b)

Kama maneno yako ni kweli basi uhusiano wao ulianza kuharibika mwaka 1984 mwishoni, Mwalimu alipokuwa akikaribia kutoka, hilo tumeshalisema wazi kule kwenye Malecela na Legacy yake mkuu hebu kachungulie tena!

3.

Mkuu haya ni yale yale, Mwinyi alipoingia madarakani Malecela, alikuwa kwenye Jumuiya ya Madola mkuu, South Afrika, hakuwepo bongo, na hata baada ya kurudi huko alipewa kazi ya kwenda Canada kufuatilia madeni ya EAC, ni mpaka aliporudi huko ndipo akapewa u-RC Iringa, Balozi London, na baadaye Waziri Mkuu. Kushindwa kwake kiti cha ubunge only baada ya kuwa Mwalimu anaondoka tunaelewa indetails what happened, ningekuomba mkuu ukaitefute ile tread ya Malecela na Legacy, na hili ya tukio la "They can go to hell", vipi mkuu ukituweka sawa aliposemea na alimuambia nani? Maana to this day bado ni mistery?

4.

Mkuu labda inayekuuma ni wewe kuhusiana na Mama Mongella, mimi sijawahi kuwa na noma ila kazi yangu ni kuweka habari sawa ninapofahamu kwa kiongozi yoyote ninayemfahamu, I know Malecela kwanza ninam-admire mkuu kwa kuweza kufikia alipofikia na haters wake wote waliopo nchini kwetu, huo ni mfano mkubwa kwangu na vijana wengi kuwa riziki ya bin-adam hupangwa na Mungu, wewe ni kusimama imara tu huwezi babaishwa na mtu, the man Malecela did what he could, amesomesha watoto kama yeye alivyosoma na sasa wamesimama wenyewe na huku yeye saa hizi akipeta huko majuu baada ya kustaafu, sasa hivi anamwaga ma-speech tu huko majuu, for the last one month, leo kama sikosei atakuwa huko Universty Of Maryland, sasa kwa maisha ya bongo mtu unataka nini zaidi, kwa hiyo nafikiri anayeumizwa na mafanikio ya Malecela, huwa wanajionyehsa kwa maneno yao na sio vigumu kuyaona hayo maneno kwenye hii topic, mimi ninazimia na mzee kwa ujasiri wa kuweza kupambana na maadui na wanafiki, na wafitini nafikiri wake ni mfano mkubwa wa kuigwa!

5.

Mkuu mimi nilifikiri msomi yoyote kama wewe, kwanza alipaswa kukemeea kitendo cha Mwalimu, kuingilia system yetu ya uchaguzi huku akiwa mstaafu, sasa kama unakuabliana na nacho ndio ninasema kuwa itachukua muda mrefu sana sisi wabongo kuendelea, pia ni madhara ya kitendo hicho cha Mwalimu, ndio na Mkapa akaamua kutuchagulia Muungwana, sasa mtu yoyote mbongo aliyeenda shule kama wewe nilitegemea kuwa anapaswa kukikemea kitendo hicho kiovu na hasa kulingana na yanayojiri sasa kuhusiana na tabia za Makapa alipokuwa kwenye power, yaanai wizi kama wa Mama Mongella, lakini Malecela hatujasikia kuwa ni mwizi, tuliambiwa na Mwalimu, Mkapa ni MR. CLEAN, lakini sasa tunamtaka aende mahakamani maan tumegundua kuwa Mwalimu alituvalisha mkenge! Leo in his absence tuna matatizo na wale aliotumabia kuwa ni wasafi, aliosema wachafu wala hatuna shida nao, Mwalimu was a human mkuu, hakuwa Mungu kama baadhi yenu mnavyoamini na haya maneno yenu, mkuu wangu sasa hivi kuna mikakati mikali inayotayarishwa kuhakikisha Mkapa kipenzi cha Mwalimu siku moja anatinga jela, maana maovu aliyoyafanya akiwa Ikulu hata robo hujayasikia, lakini yanakuja mkuu kuanzia next year!

Mkapa alikuwa kipenzi cha Mwalimu, so was Mama Mongella, tizama hii aibu mkuu kwa taifa letu? Kule kwenye zawadi ya MO tumekataliwa kwa sababu ya wizi wa Mkapa, na sasa huenda hatutapata uongozi international tena kwa wizi wa Mama Mongella, bado kuna wenye ubavu wa kutetea huu ufisadi, na kujaribu kuwalinganisha hawa na Malecela, only in Tanzania

Othwerwise, nimekusikia mkuu mana hii ni kwa mara ya kwanza ninakuona kwenye this kind of ishu!
__________________

(1) ES, nipo likizo ya krismasi kwa hiyo ninaweza kuandika kidogo hapa; Samahani sana kuwa kwa muda mrefu kidogo nimekuwa sipati uhondo wa hapa full dozi. Swala la Mama Mongela, kama ni kweli limetia aibu sana kwa nchi yetu. Niliwahi kulisikia kutoka kona tofauti hivyo lilipoanikwa hapa nilitaka nilipate undani wake kwa kina. Mlikosea kwa kuleta ubishi kwa kuingiza topik ya Malecela na kuifanya kuwa kubwa zaidi ya ishu yenyewe.

(2) FM ES, usiwe unakosa objectivity katika kuongelea swala la Malecela, nadhani hii ndiyo inayosababisha mjadala wa Malecela unakuwa hot bila msingi wowote. Katika post zangu zote ukipitia tangu niwe mwanachama wa JF zaidi ya mwaka mzima, sijawahi kutetea kitendo cha Nyerere kutuletea B. M. Kapa kama rais. Nilikipinga mwaka 1995 wakati nilipopiga kura yangu kwa Mrema, niliendelea kukipinga hadi M. Kapa anaondoka madarakani. Kwa hiyo wewe kusema hapa kuwa ninatetea kitendo cha Nyerere kwa kumpiga madongo Maelecela na kumleta B.M.Kapa, na hivyo kuhoji "usomi" wangu ni ukosefu wa objectivity.

(3) Ile thread ya Malecela sikuendelea kuichangia na kuacha kuisoma kabisa kwa vile ilianza kujazwa madongo mengi ambayo sikuyaona kama yalikuwa ya maana. Kama baadhi ya mambo mlishayajadili huko basi samahani kama nimeyarudia. Ila nadhani kuwa unakosea kidogo katika kuelezea historia halisi ya utumishi wa Malecela. Mwaka 1982 nikiwa jeshini pale Ruvu JKT nilikuwa na mtoto mmoja wa Maelecela ambaye sikumbuki jina lake. Kati ya mwaka 1982 na 1984 hivi, kuna mtoto wa Malecela mwingine alifariki katika accident ya barabarani along Bagamoyo road. Kipindi hicho chote, Malecela alikuwa waziri wa mawasiliano. Ndiye mzazi pekee aliyekuwa akitoka Dar es salaama karibu kila wikiend kwenda pale Ruvu kumsalimia mtoto wake na kumpelekea chakula. Alimaliza uawaziri wa mawasiliano na uchukuzi mwaka 1985 wakati Nyerere anaondoka madarakani. Fuatilia CV yake hapa, utaona kuwa haionyeshi kuwa aliwahi kufanya kazi kwenye Commonwealth bali alikkama unavyoeleza.

(4) Mwanzoni mwa mwaka 1983, wakati Malecela akiwa waziri wa Mawasiliano na uchukuzi alihudhuria hafla fulani iliyoandaliwa na TRC ambayo ilikuwa chini ya wizara yake. Wakati akitoa hotuba ya kushukuru, alisema kuwa "... nimejionea mwenyewe kuwa shirika la hili la reli linatoa huduma nzuri sana. Wale wote wanaolalamikia huduma hizo ninaweza kuwaambia kuwa they can go to hell." Sasa sijui kwa nini wewe useme hiyo ni "mistery." Ni Karibu miaka 25 imepita na wengi wa umma wetu walikuwa wadogo sana wakati huo, na hatuna record, lakini the old man said. Inawezekana hakuwa na maana ya kuwatukana watumia reli wakati huo ila mdomo uliteleza, but he said.

(5) Malecela aliteuliwa kuwa mmoja wa eminent people wa commonwealth mwishoni mwa mwaka 1985 wakati Mwinyi akiwa madarakani, na yeye akiwa hayuko serikalini tena kutokana na kupoteza ubunge wake nadhani kwa padri mmoja (simkumbuki jina.)

Kuwa kwenye "Commonwealth's eminent person's group" haikumaanisha kuwa hiyo ilikuwa ni ajira ya kudumu kiasi cha kumtaka aache kazi zake za nyumbani. Ilikuwa ni bahati tu kuwa hakuwa na kazi wakati huo lakini angeweza kuwa mwanachama wa hiyo grupu na kuendelea na na kazi zake kama ilivyokuwa kwa Ruth Nita Barrow ambaye alikuwa kwenye hiyo grup wakati akiwa permenent representative wa Barabados kwenye UN.

(6) Malecela aliteuliwa kuwa mmkuu wa Mkoa wa Iringa mwaka 1987, wakati Nyerere bado anaongoza serikali ya mwinyi kutoka kwenye backgroud. Kama kweli Nyerere angekuwa hampendi Malecela wakati huo, isingekuwa rahisi kwa Mwinyi kumteua kwa vile wakati ule Mwinyi alikuwa bado akimsikiliza Nyerere sana kuhusu unedeshaji wa serikali.

(7) Mzee ES, Naomba uendelee kutoa data ulizo nazo kuhusu hii skendo ya Mama Mongella as positively as you always do. Usiwe carried away na utetezi wa Malecela kwa vile Malecela hahusiki hapa. Waambie watu wanaotaka kujadili Malecela Vs Mongela waende kwenye thread nyingine; hii hapa iache imuhusu huyu mama Mongella tu. Unfortunately nilipochangia nilidhani kuwa ningesaidia kuondoa mjadala wa Malecela lakini ndipo ukapanuka na kuhamisha lengo la thread.
 
Alright Heshima mbele Wakuu JF,

Salamu kwa wachangiaji wote walioshiriki hapa elimu kali sana maana kama kawaida nimetumiwa ujumbe mwingi kutoka kwa wananchi mbali mbali kuhusiana na hii ishu, na kama kawaida wembe wangu ni ule ule kwamba kiongozi, au mwananchi akitukanwa hapa bila hoja huwa sifikirii mara mbili, especailly kama ninamfahamu, in the past nimeshamtetea with all my strength, kuanzia Freeman, Mramba, Mnauye, Sozigwa, Zitto, Dr. Slaa, Kibelloh, Dr. Mahiga, Mama Migiro, Dr. Bilali, Caroline, Malecela, na wengineo wengi sana, lakini ninaomba niseme tena,

1. Ishu ya Malecela, naomba ku-retire, yaliyosemwa yametosha, kama elimu nafikiri imeshapatikana ya kutosha, binafsi sina la kuongeza ila ninashukuru sana kina Kigeu geu na TZdevil, Kichuguu kwa elimu nzito waliyoitoa on the ishu,

2. Mama Mongella:-

Ninamfahamu kwa karibu kwa muda mrefu sana, nimewahi kumtembelea mara nyingi tu kule Makongo, anakoishi na pia alipokuwa akiishi NY pale East 44TH Street kwenye apartment, wakati akitayarisha mkutano wa Beijing, nilikuwa mara kwa mara ninamtembelea pale kula siasa, very respectful woman very intelligent, na ni kiongozi pia. Ninakumbuka at one time jinsi Columbia University, walivyokuwa wakimlilia ajiunge na shule yao kama Professor baada ya kumaliza Beijing, wazee kuombwa na shule kama hiyo huko US sio suala la mchezo, tena Muafrika!

Ninakumbuka mama akikataa offer hiyo ya Columbia, kwa sababu macho yake politically, yalikuwa kwenye u-Katibu wa UN, au urais wa bongo, na ninakumbuka siku el aliporudishwa Cabinet, the plan ilikuwa kuwarudisha pamoja na huyu mama, lakini huyu mama akakataa na kudai labda awe PM, na not less, ndio kwa mara ya kwanza nikashituka kuwa huyu mama sio mchezo ni serious deal huyu, all this time ninajua all positive kuhusu uongozi wake, mpaka Bob Mkandara, alipokuja kunishitua kule BCS, kuwa huyu mama sivyo kama ninavyomuona, lakini sikuamini, mpaka mshikaji wangu wa karibu Komando, alipogombea naye ubunge kule Ukerewe na kushindwa naye pamoja na kwamba kuna kipindi mwanzoni alikuwa akielekea kumshinda huyu Mama, ndio kwa mara ya kwanza nikapata picha ya karibu zaidi, ingawa ninakumbuka incident moja ya kwenye party ya kumpongeza huyu mama kuchaguliwa kwake kutayarisha Beijing, mama alipoiingia ukumbini wafanyakazi wengi wa foreign waliokuwepo pale walimpigia makofi huku wakiwa wamekaa, kesho yake mkuu wa ile sherehe akanifahamisha kuwa mama amefikisha malalamiko Foreign kuwa wafanyakazi hao waliokuwepo kwenye ile party, wamemkosea adabu kwani hawakusimama alipoingia, sikuamini kabisaa kuwa ni kweli mpaka nilipokwenda kuwatetea kwa bosi zaidi kuwa haikuwa kweli.

Aliporudi bongo kutoka NY, mama alianza kwanza kampeni ya kutaka ubalozi wa UN, ili umpe nafasi ya kukisogelea kiti cha katibu mkuu UN wakati huo Ghali, akiwa kwenye matatizo mengi sana na US, na huyu mama alishakuwa karibu sana na First Lady wa US, wakati huo Mama Clinton, maana ndiye hasa aliyekuwa behind ule mkutano wa Beijing, tena ninakumbuka huyu mama akimpigia simu siku moja Mama Mongella nikiwa naye. Mbinu zake kwenda UN zikashindwa kwa sababu aliyekuwepo pale UN, alishagutuka, akaanza kumtumia Kawawa, kujilinda, ndipo mama akaamua kujirusha kwenye urais, Scandinavians, wakawa wa kwanza kumsaidia maana wao wana usongo sana na sisi, hasa CCM kutokana na kula hela zao sana za misaaada, huko nyuma walishajaribu sana kumsaidia Mrema, lakini akaishia tu kuwa mbunge wa Temeke kwa juhudi zao hawa Scandnavians, this time wakaamua kumbeba huyu mama by any means necessary, lakini CCM wakashituka mapema, plan ya kwanza ilikuwa kumpeleka EAC, mama akakataaa, ndipo wakamuomba Mandela, awasaidie kumpa u-Spika wa AU, ili aondoke hapa bongo asiwasumbue kwenye urais, Spika wa bunge la SA aliyekuwa na nafasi kubwa ya kuwa Spika wa AU, akaombwa na Mandela na kumpisha huyu mama, since then nimekuwa nikiamini kuwa siku moja atakuwa rais tu wa bongo, mara ya mwisho niliongea naye kwa simu akiwa Airport, anaelekea Cuba, miezi kama mitatu iliyopita,

Sasa now comes this, kwa kweli nimesikitishwa sana, na pia ni lazima nimuombe radhi mkuu Bob kwamba alikuwa right siku zote, kuna wakati mmoja mtoto wake alifanya vituko sana US kuhusiana na Credit Cards, lakini bado nilikataa kumuangalia mama kwa jicho la wasi wasi, ambalo siku zote huwa ninakuwa nalo kuhusiana na wanasiasa, lakini sasa I can see everything clear, kumhurumia siwezi maana aliyoyafanya sio bahati mbaya, ni lazima kulikuwa na pattern ya muda mrefu ila ilikuwa imefumbiwa macho, either by our system au ya kwake binafsi,

kweli mficha ugonjwa hufichuliwa na kifo, ninasubiri the right time nikutane naye uso kwa uso, na nimwambie wazi of how much I have been disappointed, ni majuzi tu nilikuwa kwenye kilio cha Marehemu Mzee Chiume, I spent muda mwingi kuongea na mdogo wake mama Mongella pale, not knowing kuwa kuna hili soo, maana ningemuuliza what happened?

Ujumbe kwa viongozi wetu wa bongo, ni kwamba hii ni changamoto nzito sana kwenu, hata Mwalimu angekuwepo leo sijui angeliaje machozi kuona mmoja wa kipenzi chake akiingizwa kwenye hili soo? Viongozi wetu magonjwa yenu yaacheni hapa bongo mnapokwenda nje kutuwakilisha, ingekuwa US au Europe, basi by now kungekuwa na follow up ya kila mahali alipowahi kufanyakazi huyu mama, lakini bongo ndio kwanza atakuwa waziri soon, maana "....Huyu ni mwenzetu huyu..."

Mungu Aibariki Tanzania Yetu!

Samahani umepost hii wakati nikiwa nadraft jibu langu hapo juu. Ningeiona labda singeandika tena.
 
JKN hatumtendei haki, mwalimu hakubugi stepu, wewe na mimi tuliopiga kura ndo tulibugi stepu!! iweje mtu mmoja atudanganye taifa zima? huoni kwamba sisi tuliompigia kura Mkapa ndo wenye tatizo? kama mtu mmoja Nyerere alikuwa na uwezo wa kuliambia taifa zima kitu na sisi tunakubali bila kuhoji (tena siyo kulazimishwa bali kwa kupiga kura tena ya siri!!) Do you really think mwalimu analakulaumiwa na ujinga wa Ben? nadhani sisi wapiga kura ndo malofa! let mwalimu rest in peace!

Masanja,
Inaelekea hukumjua vyema JKN

DO NOT EVER UNDERESTIMATE CHARISMA aliyokuwa nayo JKN (RIP), nafikiri utakumbuka vyema alivyotumia ushawishi wake kuhusu upinzani.......kuwa na vyama vingi ama lah! na pili nafikiri utakumbuka vyema alivyofanikiwa kupunguza makali ya A. Mrema 1995, system mbovu iliyoasisiwa na JKN ndio inayotupa viongozi wabovu hadi leo.............siwezi kuhamisha hizi lawama kwa mwananchi (especially ktk hali ya kuwa deprived haki zao kwa kutumia vitisho vya kila namna kuanzia dola mpaka vyombo vya habari), hizi zote ni style zilizoasisiwa na JKN mwenyewe na askari wake mwavuli Mkapa et al.

Malecela namfahamu vizuri sana, ni mtu honest and liberali na hayo ndio baadhi ya mambo yaliyomshinda JKN in some instances..............JKN alipenda sana ku-macro manage watu alio-wateua na kuwawekea kila aina ya mashushu na hili ilisababisha viongozi wengi wasiwe na uhuru wa kufikiri na kufanya maamuzi.................the only guys waliokuwa na uwezo wa kumwambia ukweli JKN ana kwa ana walikuwa
1. Sokoine (RIP)
2. Malecela

na mara nyingi ni hawa watu wawili Nyerere alikuwa akiwaita na kupata ushauri, sasa kama alikubali au kukataa hiyo ilikuwa juu yake.................unajua wakati mwingine huwa najiuliza ule usemi wa "You can go to hell" kama kweli ulitoka mdomoni kwa Malecela au ulipikwa na mashushu wa JKN........................na kwanini yeye mwenyewe Malecela sijawahi kumsikia akikanusha hadharani kuhusu usemi huo......................Masanja unajua kulikuw ana kipindi cha ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI WA CHAMA kabla haijabadilishwa na kuwa FIKRA SAHIHI za Mwenyekiti............watu tuliimbishwa wee na hata baadhi ya vijiji ni until very recent tu wamejua kuwa JKN kweli hatuko naye.

Masanja hivi unajua kinachompatia ubunge Prof Mwakyusa kule Rungwe......very simple!!!!! alikuwa Daktari wa JKN...............all this im trying to explain ina nutshell ni jinsi gani JKN alivyo-charismatic ktk jamiii yetu ya KTZ

Finally Ndg yangu Masanja ni kweli sisi ndio wapiga kura na ndio maana hapa tunasema viongozi ni reflection yetu wenyewe kuanzia kwa JKN mwenyewe........kwa hiyo kama alibugi stepu alibugi tu ndg yangu...............na sio kuwa hatumtendei haki NO hiyo ndio HISTORIA yenyewe lazima tukubali tulikotoka.....................hawa viongozi tumewapa dhamana

again sorry kw akutoka nje ya mada wazee.....mada hapa ni Mongella......and im still saying Mongella must Go!!
 
Mkuu kama nilivyoahidi, unless kuna mapya kuhusiana na ishu za Malecela, so far sijaona anything new na sina mpango wa kuanza kurudia rudia yale yale, nitaendelea kusubiri hopefully kuna siku yatakuja mapya against Malecela, ila ahsante na ubarikiwe mkuu kwa analysis yako on Malecela,

As far as both ishus, I am done mkuu, kwangu yaliyosemwa yametosha sana, binafsi sina la kuongeza wala kupunguza!
 
Masanja,
Inaelekea hukumjua vyema JKN

DO NOT EVER UNDERESTIMATE CHARISMA aliyokuwa nayo JKN (RIP), nafikiri utakumbuka vyema alivyotumia ushawishi wake kuhusu upinzani.......kuwa na vyama vingi ama lah! na pili nafikiri utakumbuka vyema alivyofanikiwa kupunguza makali ya A. Mrema 1995, system mbovu iliyoasisiwa na JKN ndio inayotupa viongozi wabovu hadi leo.............siwezi kuhamisha hizi lawama kwa mwananchi (especially ktk hali ya kuwa deprived haki zao kwa kutumia vitisho vya kila namna kuanzia dola mpaka vyombo vya habari), hizi zote ni style zilizoasisiwa na JKN mwenyewe na askari wake mwavuli Mkapa et al.

Malecela namfahamu vizuri sana, ni mtu honest and liberali na hayo ndio baadhi ya mambo yaliyomshinda JKN in some instances..............JKN alipenda sana ku-macro manage watu alio-wateua na kuwawekea kila aina ya mashushu na hili ilisababisha viongozi wengi wasiwe na uhuru wa kufikiri na kufanya maamuzi.................the only guys waliokuwa na uwezo wa kumwambia ukweli JKN ana kwa ana walikuwa
1. Sokoine (RIP)
2. Malecela

na mara nyingi ni hawa watu wawili Nyerere alikuwa akiwaita na kupata ushauri, sasa kama alikubali au kukataa hiyo ilikuwa juu yake.................unajua wakati mwingine huwa najiuliza ule usemi wa "You can go to hell" kama kweli ulitoka mdomoni kwa Malecela au ulipikwa na mashushu wa JKN........................na kwanini yeye mwenyewe Malecela sijawahi kumsikia akikanusha hadharani kuhusu usemi huo......................Masanja unajua kulikuw ana kipindi cha ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI WA CHAMA kabla haijabadilishwa na kuwa FIKRA SAHIHI za Mwenyekiti............watu tuliimbishwa wee na hata baadhi ya vijiji ni until very recent tu wamejua kuwa JKN kweli hatuko naye.

Masanja hivi unajua kinachompatia ubunge Prof Mwakyusa kule Rungwe......very simple!!!!! alikuwa Daktari wa JKN...............all this im trying to explain ina nutshell ni jinsi gani JKN alivyo-charismatic ktk jamiii yetu ya KTZ

Finally Ndg yangu Masanja ni kweli sisi ndio wapiga kura na ndio maana hapa tunasema viongozi ni reflection yetu wenyewe kuanzia kwa JKN mwenyewe........kwa hiyo kama alibugi stepu alibugi tu ndg yangu...............na sio kuwa hatumtendei haki NO hiyo ndio HISTORIA yenyewe lazima tukubali tulikotoka.....................hawa viongozi tumewapa dhamana

again sorry kw akutoka nje ya mada wazee.....mada hapa ni Mongella......and im still saying Mongella must Go!!

Wewe subiri Mwanakijiji aione hii post yako inayomkandia Nyerere....
 
Dr. Shein the next Tz President?!...God forbid. Whatever good have been said about him, his dullness is an obstacle. Siasa sio lele mama, inahitaji werevu. Hivi huyu jamaa tangu awe VP kuna kitu gani alikisimamia kikaonekana? In fact hata hiyo position aliyo nayo hafai hata kidogo.

coleman85.jpg
 
Back
Top Bottom