Unajua kuna njia hata ya kuwapa makampuni ya kitaalamu kukuwekea uongozi, ushauri NK , Kwa hiyo sio lazima kuwa na ubia , alliance air, ilikuwaje, mkataba wa ATC na SAA. Uliishia wapi.Ndio maana ubia ndio solution madaraka hayo hayatakuwepo, pale NMB kuna ubia lakini serikali haiteui Director na sector binafsi wanateuwa na huo ni mfano mmoja tu.
Inasikitisha sana kwa kweli.Pamoja na makampuni yote ya magari mwendokasi eti wanapewa waarabu. Faida inaenda kwa mwekezaji nje wakati kampuni kibao za mabasi bongo🤦🏾♂️🤦🏾♂️. Mama tumekukosea nini? Unaua demokrasia, unateka vijana wetu, unaiba kura, bandari ya dar bila tendef waarabu wa Dubai, carbon credit dogo Abdul na waarabu, uwanja wa kia kumbe fukuza fukuza yote ni kwasababu ya kuwapa wa Oman, bandari ya bagamoyo kisirisiri wanatapesa Saudi….. sasa ukiondoka tutakuwa na makesi ya kuvunja mikataba kila siku. Reli wamapewa china bila tender
Yaani Mama huyu hata huruma hana tumetumia $1B kuagiza chuma Tsh 500B kuagiza ngano🤦🏾♂️ vijana hawana kazi kwasababu ya haya .. wamekuwa machawa. Yaani 10% Mama kwenye kila kitu. Angalia tamaa zako zitakuponza Mungu hajakiweka hapo ufanye haya
Ni kweli kabisa unachosemaNaona kama anakomesha Watanganyika. Kwa kuhakisha hawatakuwa na maendeleo kwa miaka 100 ijayo na kubaki vijakazi na watumwa kwenye nchi yao. Wasiomiliki kitu chochote cha maana.
Inasikitisha sana kwa kweli.Uzalendo hakuna , wenye mamlaka wanaunga mkono
Sisi watanzani ni walji na kujinufaisha kibinafsi. Ndio maana miradi yote ya serikali huwa haiendi sawa.Pamoja na makampuni yote ya magari mwendokasi eti wanapewa waarabu. Faida inaenda kwa mwekezaji nje wakati kampuni kibao za mabasi bongo🤦🏾♂️🤦🏾♂️. Mama tumekukosea nini? Unaua demokrasia, unateka vijana wetu, unaiba kura, bandari ya dar bila tendef waarabu wa Dubai, carbon credit dogo Abdul na waarabu, uwanja wa kia kumbe fukuza fukuza yote ni kwasababu ya kuwapa wa Oman, bandari ya bagamoyo kisirisiri wanatapesa Saudi….. sasa ukiondoka tutakuwa na makesi ya kuvunja mikataba kila siku. Reli wamapewa china bila tender
Yaani Mama huyu hata huruma hana tumetumia $1B kuagiza chuma Tsh 500B kuagiza ngano🤦🏾♂️ vijana hawana kazi kwasababu ya haya .. wamekuwa machawa. Yaani 10% Mama kwenye kila kitu. Angalia tamaa zako zitakuponza Mungu hajakiweka hapo ufanye haya
Mbona ilitangazwa tenda na ikikaa miezi Mingi bila ya kumpata mtu?Pamoja na makampuni yote ya magari mwendokasi eti wanapewa waarabu. Faida inaenda kwa mwekezaji nje wakati kampuni kibao za mabasi bongo🤦🏾♂️🤦🏾♂️. Mama tumekukosea nini? Unaua demokrasia, unateka vijana wetu, unaiba kura, bandari ya dar bila tendef waarabu wa Dubai, carbon credit dogo Abdul na waarabu, uwanja wa kia kumbe fukuza fukuza yote ni kwasababu ya kuwapa wa Oman, bandari ya bagamoyo kisirisiri wanatapesa Saudi….. sasa ukiondoka tutakuwa na makesi ya kuvunja mikataba kila siku. Reli wamapewa china bila tender
Yaani Mama huyu hata huruma hana tumetumia $1B kuagiza chuma Tsh 500B kuagiza ngano🤦🏾♂️ vijana hawana kazi kwasababu ya haya .. wamekuwa machawa. Yaani 10% Mama kwenye kila kitu. Angalia tamaa zako zitakuponza Mungu hajakiweka hapo ufanye haya
Mbona ilitangazwa tenda na ikikaa miezi Mingi bila ya kumpata mtu?
Ebu punguzeni chuki zenu za kijinga japo kidogo
Any way nahisi njia ya Ubungo bado haijapata muwekezaji haya wambie hao wazawa wawekeze huko
Hi Mofat kama ni Waarabu wapo njia ya Mbagala tu Magali Yao ni mapya na full AC