Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hujaeleza umejuaje Zari ana miaka 39!
Ngoja nikusaidie....ushawahi kuona cheti chake cha kuzaliwa au kitambulisho chake chochote kile kilicho rasmi kinachoonyesha kazaliwa lini?
Nimeshawahi ona. Ehe
Hahah star wa kike akikuambia ana 36 ongezea 3 - 5 hapo kwani huwa wanajipunguzia miaka. Kwanza mikono yake inasema mengi kuhusu umri. huyu dada ni mojawapo ya wale ant aging. Kwanza hapa hataki kuongozana na wanae south Africa coz wanamfanya aonekane mtu mzima while yeye anautaka utoto. Mzazi mwenzake ndo ameachiwa jukumu la kuwaintertain watoto kwa sasa. Usiniulize nimejuaje
Hahaha umri siujui wa hyo mkubwa. Alimzaa utotoni. Muulize mary luswata atakujibu hili la umri.
Kama mke ana akili hizi, ukichanganya na akili za sugu, Huyo mtoto sijui atakuwaje...
wakati anazaliwa pampers zilishaingia kweli??? sio enzi zile za kuchana kanga kufunga na malboro??? angefanya la msingi sana kama angeigiza uhalisia, pampers awaachie watoto wa 2000
Hahah kama unamfollow insta huwez shangaa sana, Sasha mwanae anatabu huko mbeleni
basi humtendei haki kwa kumzushia kisicho na uhakika...
nyie vibwengo sugu alishaachana na huyu kimeo
Hahahaaa kwa jinsi ulivyojibu tu sikuamini:becky:.
Hehehe amini usiamini ustadh
Nyie mangapi mnazushia watu...abegooo tumjadili faiza kwa sasa
It's okay kama humpendi na kuamua kumzushia tu.
Lakini kusema unajua huku hujui sio freshi....