Mama mtoto wa sugu avaa pampers kwenye birthday

Usupa staa wa kibongo ni ishu. Mtaona kina Wema na wapuuzi wengine wanaiga hivi karibuni. Yetu macho.
 
........Hii kali!! Nae anaitwa mama na mupenzi wa mheshimiwa.

Hilo wigi sasa, utafikiri yupo kwenye party ya halloween!!
 
Tatizo Faiza anapenda sana umaarufu na alivyojisogeza kwa Sugu na fasta akategesha mimba akaamini atatengeneza umaarufu. Lakini tabia zake zilimfanya Sugu ashtuke na akaacha hata kwenda naye Bungeni.
Baada ya mtoto waliozaa kukaa sawa Sugu kampiga chini na mtoto wake ameamua kuishi naye mwenyewe. Sasa Faiza anahangaika kivyake kusaka umaarufu. Anajiita Actress na wala sijui filamu yake hata moja.
Nadhani Sugu atajifunza sana kupitia huyu, kwamba mwanamke wa kufanya naye maisha huwezi kumpata kwenye vikao vya kunywa Konyagi pale De France, lazima yakukute kama haya.
Ova
 
......bora Sugu kachukua mtoto, mama dizaini hii kulea mtoto haiwezekani.
 
Tatizo Faiza anapenda sana umaarufu na alivyojisogeza kwa Sugu na fasta akategesha mimba akaamini atatengeneza umaarufu. Lakini tabia zake zilimfanya Sugu ashtuke na akaacha hata kwenda naye Bungeni.
Baada ya mtoto waliozaa kukaa sawa Sugu kampiga chini na mtoto wake ameamua kuishi naye mwenyewe. Sasa Faiza anahangaika kivyake kusaka umaarufu. Anajiita Actress na wala sijui filamu yake hata moja.
Nadhani Sugu atajifunza sana kupitia huyu, kwamba mwanamke wa kufanya naye maisha huwezi kumpata kwenye vikao vya kunywa Konyagi pale De France, lazima yakukute kama haya.
Ova
Acha Umbea wewe kujifanya mnajua watu Kwa kuzurura Insta nyoooo!
 
Nimeshuhudia yule Mchumba wa Mh. Sugu ambaye wameachana hivi karibuni akifanya kituko cha ajabu ambacho hakistahili kufanywa na mwanamke anayejiheshimu na hasa yule ambaye ni mke wa kiongozi ambaye anatakiwa awe mfano katika jamii anayoiongoza. Ni vema tukamshuhudia akiwa amevaa Pampers eti kusherehekea Birthday

Shocking:Aliyekuwa Mke wa Mbunge Mh. Sugu Faiza Ally Atoa Mpya..Avaa Pampers Siku ya Sikukuu ya Kuzaliwa Kwake na Kutinga Ukumbini | Udaku Specially

daipa.jpg

daipas.jpg

daipa2.jpg
 
Wanamuita Sugu...

Alimgundua mkampiga chini na ma pampers lake
 
Umeweka picha sawa ila hujaeleweka....Sugu alichukua uamuzi gani wa kupongezwa? Na hii ya pampers what if designer wake ndo alimshauri itamtoa?
 
Ukigundua unakaa na kichaa ni mambo mawili tu ya kufanya mkimbize au kibia wewe,thanks kwa Sugu chama kubwa kama arsenal
 
Umeweka picha sawa ila hujaeleweka....Sugu alichukua uamuzi gani wa kupongezwa? Na hii ya pampers what if designer wake ndo alimshauri itamtoa?

Husicho kielewa ni nini? tufanye huyo unayemuona katika hizo picha ni mkeo utajisikiaje?
 
Back
Top Bottom