Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
- Thread starter
- #81
Huna facts kuhusu umri wa Zari.
Umezusha.
Tabia mbaya hiyo.
Bwana sijazusha mbona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna facts kuhusu umri wa Zari.
Umezusha.
Tabia mbaya hiyo.
Bwana sijazusha mbona
......bora Sugu kachukua mtoto, mama dizaini hii kulea mtoto haiwezekani.Tatizo Faiza anapenda sana umaarufu na alivyojisogeza kwa Sugu na fasta akategesha mimba akaamini atatengeneza umaarufu. Lakini tabia zake zilimfanya Sugu ashtuke na akaacha hata kwenda naye Bungeni.
Baada ya mtoto waliozaa kukaa sawa Sugu kampiga chini na mtoto wake ameamua kuishi naye mwenyewe. Sasa Faiza anahangaika kivyake kusaka umaarufu. Anajiita Actress na wala sijui filamu yake hata moja.
Nadhani Sugu atajifunza sana kupitia huyu, kwamba mwanamke wa kufanya naye maisha huwezi kumpata kwenye vikao vya kunywa Konyagi pale De France, lazima yakukute kama haya.
Ova
Angejinyea kabisa ili akamilishe utoto
Acha Umbea wewe kujifanya mnajua watu Kwa kuzurura Insta nyoooo!Tatizo Faiza anapenda sana umaarufu na alivyojisogeza kwa Sugu na fasta akategesha mimba akaamini atatengeneza umaarufu. Lakini tabia zake zilimfanya Sugu ashtuke na akaacha hata kwenda naye Bungeni.
Baada ya mtoto waliozaa kukaa sawa Sugu kampiga chini na mtoto wake ameamua kuishi naye mwenyewe. Sasa Faiza anahangaika kivyake kusaka umaarufu. Anajiita Actress na wala sijui filamu yake hata moja.
Nadhani Sugu atajifunza sana kupitia huyu, kwamba mwanamke wa kufanya naye maisha huwezi kumpata kwenye vikao vya kunywa Konyagi pale De France, lazima yakukute kama haya.
Ova
Umeweka picha sawa ila hujaeleweka....Sugu alichukua uamuzi gani wa kupongezwa? Na hii ya pampers what if designer wake ndo alimshauri itamtoa?