Mama mtoto wa sugu avaa pampers kwenye birthday

Mama mtoto wa sugu avaa pampers kwenye birthday

Bado hujaeleza umejuaje Zari ana miaka 39!

Ngoja nikusaidie....ushawahi kuona cheti chake cha kuzaliwa au kitambulisho chake chochote kile kilicho rasmi kinachoonyesha kazaliwa lini?

Hapa ndipo wengi wetu tunakuchukiaga
 
Attachments

  • 1418994344644.jpg
    1418994344644.jpg
    7.8 KB · Views: 671
Uwiiiii,km huo ndio ujnja basi mie ntabaki kuwa mshamba siku zote.
 
Faiza ana stress za kumkosa sugu na alishakiri kujutia kukutana na sugu kwani sugu anamuoneshea dharau. Pia kuhusu kumuambukia sugu gonorea Hii alopost mwenyewe Instagram.

Kwa hiyo sugu ana gonorea? ha ha ha aisee
 
Ndo mke wa mbunge, kama kweli ni vioo vya chamii hii inaufundisha nini?
Pole sana Sugu.
 
Tatizo Faiza anapenda sana umaarufu na alivyojisogeza kwa Sugu na fasta akategesha mimba akaamini atatengeneza umaarufu. Lakini tabia zake zilimfanya Sugu ashtuke na akaacha hata kwenda naye Bungeni.
Baada ya mtoto waliozaa kukaa sawa Sugu kampiga chini na mtoto wake ameamua kuishi naye mwenyewe. Sasa Faiza anahangaika kivyake kusaka umaarufu. Anajiita Actress na wala sijui filamu yake hata moja.
Nadhani Sugu atajifunza sana kupitia huyu, kwamba mwanamke wa kufanya naye maisha huwezi kumpata kwenye vikao vya kunywa Konyagi pale De France, lazima yakukute kama haya.
Ova

mdakuzi as usually
 
DelFrance! Sinza!
 
Chadema hoyee mchumba wa mbunge hoyeee pampers hoyeee
 
Huyu demu kweli hamnazo.....masikini mheshimiwa sijui aliwezaje kuishi na kichaa kama huyu. Hebu jionee hizo pics10852993_622117901249305_558256097_n.jpg1169188_309188889291073_360486838_n.jpg10853075_757908014303125_1096924850_n.jpg

My Take:
Tujitahidi sana kutafuta wenzi wetu wa kuanzisha nao familia kwa heshima yetu wenyewe, vizazi vyetu, wazazi wetu, ndugu zetu na jamii inayotuzunguka kwa ujumla.

Swali:
Hivi hizi ni hasira za kuachwa au ni kitu gani?
 
The news is kinda outdated!ilishapostiwa hapa jamvini,guess hujanotice mkuu...
 
Back
Top Bottom