Yeah ndiyo msemaji wake wewe hautaki?
Una kiherehere Ka bi mwajuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah ndiyo msemaji wake wewe hautaki?
You can take a joke and quip back with wit.
Unlike some of these self appointed spokespersons you have.
The name Faiza was just too tempting.
Uhuru wa kijieleza unakotupeleka sitashangaa baada ya miaka michache watu wakitembea uchi kwenye birthday, kila mtu anataka kimpita mwenzake.
Kwa nini ngumu kuchangia mkuu?Mada zingine ngumu kuchangia.....
Mkuu...umepitwa na hili?Mheshimiwa nani huyo??? Maana siku hizi kila mtu ni mheshimiwa
N8dhamu anayo bibi yako mwenye kuvaa Thong akiwa na umri wa miaka 80.
Sasa sijui anataka amvuyie nani.
Ukafiri kaazi kweli kweli
Kwa sababu ngumu kuzielewa mkuu....Kwa nini ngumu kuchangia mkuu?
Punguza jazba shangazi.
Unajiita majaribu, mi nafanya kweli.
Kosa uiname tu! Nyamaff wahed.
Yeah, sometimes mkuuKwa sababu ngumu kuzielewa mkuu....
Anakusaidia kuharibu wanao, dada zako, wadogo zako, na wengine wanaokuzunguka katika jamii yako. Think big manHizi mada nyingine ni pumba anatusaudia nini huyu.....
Yeah, sometimes mkuu
Unatafuta baaasha wewe.Naona umeamka na hangover za kona bar,hizi kazi zenu za usiku zinaharibu kabisa maadili ya hili taifa.
Tabia anazoonesha huyu mwanamke ni jinsi pia sugu anavyotafsilika kwamba ni mtu wa aina gani SUGU tutakufundisha uchaguzi ujao USIHOFU
Da amekua kituko mama mzima aoni aibu Je mtoto akiziona naisi Ana wa kumpa ushauri.Hapo amebugiKuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu, mbaya zaidi kwa yule uliyempenda wewe unakonda yeye ananenepa