Mama mtoto wa sugu avaa pampers kwenye birthday

Mama mtoto wa sugu avaa pampers kwenye birthday

You can take a joke and quip back with wit.

Unlike some of these self appointed spokespersons you have.

The name Faiza was just too tempting.

Uhuru wa kijieleza unakotupeleka sitashangaa baada ya miaka michache watu wakitembea uchi kwenye birthday, kila mtu anataka kimpita mwenzake.

Wacha kujipendekeza we nyodo la kizaramo. Watu wanajadili kwa lugha ya taifa unatuletea Nyodo zako za wakoloni hapa.
Ndio nyie mnaochambia makaratasi mpaka leo kwa kuutukuza uzungu.
Tumbaff wahed
 
Kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu, mbaya zaidi kwa yule uliyempenda wewe unakonda yeye ananenepa
 
Tabia anazoonesha huyu mwanamke ni jinsi pia sugu anavyotafsilika kwamba ni mtu wa aina gani SUGU tutakufundisha uchaguzi ujao USIHOFU

we nawe mwehu tu, hujui kama sugu alimuacha huyo? tafuta mahojiano ya huyo kituko mwenzio ndo utajua nini kinaendelea kati yake na sugu, pili hakuna wa kumfundisha sugu
 
Back
Top Bottom