Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni Faiza Ally (Ex wa mheshimiwa). FaizaFoxy nafahamu tu kuwa ni member wa JF but sijui anafananajeHuyu Faiza ndo Faizafoxy au jina tu?
Duh...sikulijua hilo mkuu, kumbe ni kitambo kidogo. Ahsante kwa kunijuza na samahanini kwa kuirudiaThe news is kinda outdated!ilishapostiwa hapa jamvini,guess hujanotice mkuu...
Yeah ndiyo msemaji wake wewe hautaki?Wewe ndiye msemaji wake au?
Yeah ndiyo msemaji wake wewe hautaki?
Kizaramo.Hautaki ni lugha gani hiyo?
Kuzaramo.
Andika lugha yako kiswahili au kizaramo acha utumwa wa kiakili na kifikra.I thought so.
Andika lugha yako kiswahili au kizaramo acha utumwa wa kiakili na kifikra.
Kizaramo je?Wacha akili mbofumbofu wewe.
Kiswahili kina maandishi yake?
Tangu lini?
Unajua maana ya usharukia?Hujamaliza hili usharukia lile.
Mweyago utemilezingodi.
Unajua maana ya usharukia?
Maana ya nini?Unajua maana ya maana?