kenny mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 316
- 848
Hapa nilipo hela bado sijaitoa kwenye simuUkiila hiyo 50 basi huna budi kwenda kuitumikia.
Mkuu hatariNoma sana!
Hii point hata na Mimi nataka nimwambie tukapime kwanzaMkuu Lichukue kalipime af anza kuchakata mbususu
Usisahau kwenda na mafuta pindi utakapo kutana naye kwani yanaweza kukusaidia na weweWakuuu kuna jimama nimekutana nalo juzi kwenye daladala tulikuwa tumekaa siti moja ni jeupe yani pisi Kali sana Mimi uwa na tabia ya kupendeza kula pamba na kunukia viZuri ndio tabia yangu so jimama limepagawa likaniomba namba Mimi nikampa lilisema tuwe marafiki sasa toka jana linanisumbua limeniambia linanipenda linafanya kazi TRA sasa linaniambia niwe nae kimapenzi njtaenjoy hapa ninapoandika limenitumia hela shs elfu 50 limeniambia nitumie tu wikiendi hii ila limesema j3 nikutane nae,
Wakuu nifanyaje?
Awap! Chuo hakinaga scholars wazembe kiasi hiki! Huyu alimaliza four mwaka jana. Mwaka huu anajoin college ya unesi!Hv kumbe vyuo vimefungwa.....
Sio shida Mkuu... Nendeni mkapime pia akuhakikishie kama hana mume.... Kama utakua tayali anza nae mahusiano maan mapenzi hayachagui umri, wala Nini..... Bahati yako inaweza angukia kwa mtu alotaka kuingia serious kweny mahusiano na ww kwa hyo usiichezee bahatiWakuuu kuna jimama nimekutana nalo juzi kwenye daladala tulikuwa tumekaa siti moja ni jeupe yani pisi Kali sana Mimi uwa na tabia ya kupendeza kula pamba na kunukia viZuri ndio tabia yangu so jimama limepagawa likaniomba namba Mimi nikampa lilisema tuwe marafiki sasa toka jana linanisumbua limeniambia linanipenda linafanya kazi TRA sasa linaniambia niwe nae kimapenzi njtaenjoy hapa ninapoandika limenitumia hela shs elfu 50 limeniambia nitumie tu wikiendi hii ila limesema j3 nikutane nae,
Wakuu nifanyaje?
🤣Kwani shule zimeshafungwa? Kumechafuka sana humu ndani.
Pamba ulizonunuliwa lazima upendeze na ulivyo nyororo huyo Maza ni shemaleWakuuu kuna jimama nimekutana nalo juzi kwenye daladala tulikuwa tumekaa siti moja ni jeupe yani pisi Kali sana Mimi uwa na tabia ya kupendeza kula pamba na kunukia viZuri ndio tabia yangu so jimama limepagawa likaniomba namba Mimi nikampa lilisema tuwe marafiki sasa toka jana linanisumbua limeniambia linanipenda linafanya kazi TRA sasa linaniambia niwe nae kimapenzi njtaenjoy hapa ninapoandika limenitumia hela shs elfu 50 limeniambia nitumie tu wikiendi hii ila limesema j3 nikutane nae,
Wakuu nifanyaje?