RUFIJI VALLEY
Senior Member
- Apr 14, 2024
- 112
- 225
Mtoto wa afu mbili na kumi 😃
Na Bado sekondari nao wanafunga ijumaa tutaona mengi Sana had mwez wa kumi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Bado sekondari nao wanafunga ijumaa tutaona mengi Sana had mwez wa kumi
Usikariri maisha. Anapanda daladala kwa ajili ya kuwinda. Mfano kwa sisi wanaume ukiwa na gari utakula sana wanawake wasio na magari. Ila kwa sababu za mazoea ambayo yamekuwa utamaduni sasa, mwanaume mwenye gari anaweza akamuita mwanamke yoyote anayetembea kwa miguu na kumpa ofa ya lifti. Mwanamke huyo ni nadra kukataa. Kwa hiyo ataingia kwenye gari na hapo ndo atakuwa ameshaingia mtegoni.Dah TRA hana gari anaingia daladala 50k sio hela huyo kakuonga na hela ya mtaji wa nyanya
Hakunaga huo ni ushamba na uongo ila ngoja tufanye utafitiUsikariri maisha. Anapanda daladala kwa ajili ya kuwinda. Mfano kwa sisi wanaume ukiwa na gari utakula sana wanawake wasio na magari. Ila kwa sababu za mazoea ambayo yamekuwa utamaduni sasa, mwanaume mwenye gari anaweza akamuita mwanamke yoyote anayetembea kwa miguu na kumpa ofa ya lifti. Mwanamke huyo ni nadra kukataa. Kwa hiyo ataingia kwenye gari na hapo ndo atakuwa ameshaingia mtegoni.
Ila mwanamke mwenye gari hawezi kuwinda kwa staili hiyo. Duniani kote bado hakuna mazoea au utamaduni wa mwanamke mwenye gari kumuita mwanaume anayetembea kwa miguu na kumpa lifti halafu ndo amtongoze. Mwanamke wa aina hiyo ataonekana kituko na kuzua gumzo kwenye jamii.
Kwa hiyo huyo "jimama" kajiongeza. Anajua wanaopanda daladala wote ni maskini tu, kwa hiyo ni eneo zuri la kuwinda vijana wasiomjua lakini wenye shida za hela.