kenny mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 316
- 848
Wakuuu kuna jimama nimekutana nalo juzi kwenye daladala tulikuwa tumekaa siti moja ni jeupe yani pisi Kali sana. Mimi huwa na tabia ya kupendeza kula pamba na kunukia vizuri ndio tabia yangu so jimama limepagawa likaniomba namba Mimi nikampa lilisema tuwe marafiki
Toka jana linanisumbua limeniambia linanipenda linafanya kazi TRA sasa linaniambia niwe nae kimapenzi njtaenjoy hapa ninapoandika limenitumia hela shs elfu 50 limeniambia nitumie tu wikiendi hii ila limesema j3 nikutane nae.
Wakuu nifanyaje?