Mama mtu mzima ananitaka kimapenzi, ana miaka 34+

Wakuuu kuna jimama nimekutana nalo juzi kwenye daladala tulikuwa tumekaa siti moja ni jeupe yani pisi Kali sana Mimi uwa na tabia ya kupendeza kula pamba na kunukia viZuri ndio tabia yangu so jimama limepagawa likaniomba namba Mimi nikampa lilisema tuwe marafiki

Stoka jana linanisumbua limeniambia linanipenda linafanya kazi TRA sasa linaniambia niwe nae kimapenzi njtaenjoy hapa ninapoandika limenitumia hela shs elfu 50 limeniambia nitumie tu wikiendi hii ila limesema j3 nikutane nae,
Wakuu nifanyaje?
Daah! Sisi wengine izo bahati twazisubiria kwa hamu mkuu changamkia fursa ila kuwa makini kuchunguza asije kuwa mke wa mtu.
 
Wakuuu kuna jimama nimekutana nalo juzi kwenye daladala tulikuwa tumekaa siti moja ni jeupe yani pisi Kali sana Mimi uwa na tabia ya kupendeza kula pamba na kunukia viZuri ndio tabia yangu so jimama limepagawa likaniomba namba Mimi nikampa lilisema tuwe marafiki

Stoka jana linanisumbua limeniambia linanipenda linafanya kazi TRA sasa linaniambia niwe nae kimapenzi njtaenjoy hapa ninapoandika limenitumia hela shs elfu 50 limeniambia nitumie tu wikiendi hii ila limesema j3 nikutane nae,
Wakuu nifanyaje?
Nunua vumbi la Kongo uende ukalipe show Kali Hilo lishangazi
 
Unaweza kuta hilo jimama ni mama,shangazi,mama mdogo au hata ndugu wa member wa hapa jamiiforum na yeye kwa bila kujua kachangia umugegede/uligegede hilo jimama[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaaaah
 
Back
Top Bottom