LD
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 3,014
- 578
MSISITIZO:mama mwenye ndoa yake/aliyeolewa HAWEZI KUWA ''MPANGO WA NJE'' wa mtu yoyote.
MPANGO WA KANDO-inamuhusisha mwanaume aliyeoa na ''A SINGLE BEAUTIFUL LADY''
ok, ok so mimi kama a single lady, naona ni bora kuwa mpango wa nje na mwanaume mwenye ndoa, kupunguza hayo matatizo ya mama mwenye ndoa.
Au niaje kaka zangu.Tafadhali Fab nafikiria bado sijaamua.