''MAMA MWENYE NYUMBA'' vs ''MPANGO WA KANDO''-WHO ENJOYS?

''MAMA MWENYE NYUMBA'' vs ''MPANGO WA KANDO''-WHO ENJOYS?

MSISITIZO:mama mwenye ndoa yake/aliyeolewa HAWEZI KUWA ''MPANGO WA NJE'' wa mtu yoyote.

MPANGO WA KANDO-inamuhusisha mwanaume aliyeoa na ''A SINGLE BEAUTIFUL LADY''

ok, ok so mimi kama a single lady, naona ni bora kuwa mpango wa nje na mwanaume mwenye ndoa, kupunguza hayo matatizo ya mama mwenye ndoa.

Au niaje kaka zangu.Tafadhali Fab nafikiria bado sijaamua.
 
ooh nilijua nyie ndo mna haki ya kuenjoy haya maisha wanawake mmh WHAT A FAIR WORLD?!

MSISITIZO:mama mwenye ndoa yake/aliyeolewa HAWEZI KUWA ''MPANGO WA NJE'' wa mtu yoyote.

MPANGO WA KANDO-inamuhusisha mwanaume aliyeoa na ''A SINGLE BEAUTIFUL LADY''
 
smiles jaribu kuongea na huyo mwanamama ''ki-utu uzima''.....!inawezekana wewe mwanamke mwenzie atakuelewa

Can't do that! Am not here to judge anyone's policy...
If u can't stand somethin si u just ignore it jamani...
 
Orait............Kuna mpango unanishawishi nibadilishe flight hapa. Tafadhali nishaurini
 
kirefu chake tafadhali

Muulize GY atakuambia kirefu chake

Sijambo my infii.....nakupa mpango wa nje unanipa enjoyment.....

Habari ndo hiyo my infii....mpango wa ndani si ishu wala nini ndo maana kuna kubadilishaga msosi ati leo pilau kesho wali nyama sio kila siku maharage au sio infii wangu....<<wink>>
 
aaaah je wewe ulishawahi kubembelezwa imekula kwenu kama ndo mnavoamini kina mama embu kaandaeni supu za watoto wakija muwapokee kwa bashasha zote msisahau kubembeleza wakumbuke kuacha mboga za watoto i dunia ina raha wacha tu FINEST

chauro mama mwenye nyumba hawezi kuwa mpango wa nje wa mtu mwingine banaa
 
aaaah je wewe ulishawahi kubembelezwa imekula kwenu kama ndo mnavoamini kina mama embu kaandaeni supu za watoto wakija muwapokee kwa bashasha zote msisahau kubembeleza wakumbuke kuacha mboga za watoto i dunia ina raha wacha tu finest

ha ha ha ha ha
 
muulize gy atakuambia kirefu chake

habari ndo hiyo my infii....mpango wa ndani si ishu wala nini ndo maana kuna kubadilishaga msosi ati leo pilau kesho wali nyama sio kila siku maharage au sio infii wangu....<<wink>>

js kwahiyo wewe si unaweza kuwa mpango wangu wa nje
 
ok, ok so mimi kama a single lady, naona ni bora kuwa mpango wa nje na mwanaume mwenye ndoa, kupunguza hayo matatizo ya mama mwenye ndoa.

Au niaje kaka zangu.Tafadhali Fab nafikiria bado sijaamua.

hapo ina maanisha itakuwa hivyo maisha yako yote?....matatizo ya kwenye ndoa ukiyachukulia kama unasoma katekismo bac uanishilia taratibu, ukiyaona mengine ukayapotezea mengine unaharibu bac cku zinasonga, ni bora kuingia na kupambana nayo kuliko kutumika huko nje kama ifuatavyo...na hawa wanaume ambavyo hawatosheki kesho kesho akiokita ka spring chicken kengine anakumwaga.....
 
Muulize GY atakuambia kirefu chake

Habari ndo hiyo my infii....mpango wa ndani si ishu wala nini ndo maana kuna kubadilishaga msosi ati leo pilau kesho wali nyama sio kila siku maharage au sio infii wangu....<<wink>>

Keyboard life can never be that serious my lovely infii..........
 
hapo ina maanisha itakuwa hivyo maisha yako yote?....matatizo ya kwenye ndoa ukiyachukulia kama unasoma katekismo bac uanishilia taratibu, ukiyaona mengine ukayapotezea mengine unaharibu bac cku zinasonga, ni bora kuingia na kupambana nayo kuliko kutumika huko nje kama ifuatavyo...na hawa wanaume ambavyo hawatosheki kesho kesho akiokita ka spring chicken kengine anakumwaga.....

Kweli dadangu..hii issue ni chain reaction. Ni kama kunywa bia..Kama watu wangetosheka brewaries zote zingeshafungwa. Ni muhimu kukubali kunywa moja na kuachia ngazi au kutokunywa kabisa kama unaweza kuucheza muziki wake!
 
Back
Top Bottom