MSISITIZO:mama mwenye ndoa yake/aliyeolewa HAWEZI KUWA ''MPANGO WA NJE'' wa mtu yoyote.
MPANGO WA KANDO-inamuhusisha mwanaume aliyeoa na ''A SINGLE BEAUTIFUL LADY''
MSISITIZO:mama mwenye ndoa yake/aliyeolewa HAWEZI KUWA ''MPANGO WA NJE'' wa mtu yoyote.
MPANGO WA KANDO-inamuhusisha mwanaume aliyeoa na ''A SINGLE BEAUTIFUL LADY''
smiles jaribu kuongea na huyo mwanamama ''ki-utu uzima''.....!inawezekana wewe mwanamke mwenzie atakuelewa
Ni vema umelitambua hiloinfii ni hadi uwe umeoa au kuolewa
kirefu chake tafadhali
Sijambo my infii.....nakupa mpango wa nje unanipa enjoyment.....
chauro mama mwenye nyumba hawezi kuwa mpango wa nje wa mtu mwingine banaa
aaaah je wewe ulishawahi kubembelezwa imekula kwenu kama ndo mnavoamini kina mama embu kaandaeni supu za watoto wakija muwapokee kwa bashasha zote msisahau kubembeleza wakumbuke kuacha mboga za watoto i dunia ina raha wacha tu finest
orait............kuna mpango unanishawishi nibadilishe flight hapa. Tafadhali nishaurini
muulize gy atakuambia kirefu chake
habari ndo hiyo my infii....mpango wa ndani si ishu wala nini ndo maana kuna kubadilishaga msosi ati leo pilau kesho wali nyama sio kila siku maharage au sio infii wangu....<<wink>>
hahaha mbona unapenda miteremko ivyoo? Njoo usalule huku hakuna ishu nyingine zaidi ya "mpango wa nje"js kwahiyo wewe si unaweza kuwa mpango wangu wa nje
ndio mana kwangu pesa yangu ni yangu...yake ni yetu.
ok, ok so mimi kama a single lady, naona ni bora kuwa mpango wa nje na mwanaume mwenye ndoa, kupunguza hayo matatizo ya mama mwenye ndoa.
Au niaje kaka zangu.Tafadhali Fab nafikiria bado sijaamua.
Karibu da Nyamayao, ulitorokea/toroshewa wapi? Missed you so much.
Please tembelea hii thread yetu usaidie kuokoa jahazi..hizi issue za Teamo zinataka ku-R.I.P mwanamke mwenzenu!
https://www.jamiiforums.com/mahusia...a-hata-neno-tu-waweza-kumuokoa-huyu-mama.html
Muulize GY atakuambia kirefu chake
Habari ndo hiyo my infii....mpango wa ndani si ishu wala nini ndo maana kuna kubadilishaga msosi ati leo pilau kesho wali nyama sio kila siku maharage au sio infii wangu....<<wink>>
hapo ina maanisha itakuwa hivyo maisha yako yote?....matatizo ya kwenye ndoa ukiyachukulia kama unasoma katekismo bac uanishilia taratibu, ukiyaona mengine ukayapotezea mengine unaharibu bac cku zinasonga, ni bora kuingia na kupambana nayo kuliko kutumika huko nje kama ifuatavyo...na hawa wanaume ambavyo hawatosheki kesho kesho akiokita ka spring chicken kengine anakumwaga.....
hahaha mbona unapenda miteremko ivyoo? Njoo usalule huku hakuna ishu nyingine zaidi ya "mpango wa nje"
js kwahiyo wewe si unaweza kuwa mpango wangu wa nje