''MAMA MWENYE NYUMBA'' vs ''MPANGO WA KANDO''-WHO ENJOYS?

''MAMA MWENYE NYUMBA'' vs ''MPANGO WA KANDO''-WHO ENJOYS?

noma ni pale mpango wa nje akipata mtoto matanuzi inakwaje?
 
...teamo, kwema huko?

shem na kabinti wanaendeleaje.
hivi pampers au nepi zinauzwaje siku hizi?
halafu vichanga vya siku hizi vinakula balaa, unanunua maziwa gani ya kopo? Bei?
maana naskia lactogen na s-26 zilishapigwa marufuku. Anyway,...

kumradhi wajemeni kwa kwenda nje ya topic,...namjulia hali tu huyu jamaa yangu hapa.
ha ha ha ha!
 
...Teamo, kwema huko?

Shem na kabinti wanaendeleaje.
Hivi Pampers au nepi zinauzwaje siku hizi?
Halafu vichanga vya siku hizi vinakula balaa, unanunua maziwa gani ya kopo? bei?
maana naskia Lactogen na S-26 zilishapigwa marufuku. Anyway,...

Kumradhi wajemeni kwa kwenda nje ya topic,...namjulia hali tu huyu jamaa yangu hapa.

Hivi watoto bado wanapewa GRIPU WOTA? AU NI SAFARI WOTA?
 
Ni kweli babu usemalo na watakuwa petrol kuwashia moto kila mara utakapoonyesha dalili ya kuzima

Mama Big, Salama? Mbona cku hizi huonekani kanisani mpendwa... Maajilio haya, njoo kwenye mkesha
 
Back
Top Bottom