''MAMA MWENYE NYUMBA'' vs ''MPANGO WA KANDO''-WHO ENJOYS?

''MAMA MWENYE NYUMBA'' vs ''MPANGO WA KANDO''-WHO ENJOYS?

We acha tu wao ndo wakula matunda tunayopalilia sie wa kulinda miji na watoto wasiporomoke ili akinywa bia ishuke bila mawaa kazi tunayo

Mother house palilia matunda mamaa ""my infii leo si tunatoka eeh"",
Mwambie akuandalie ile suruali ya..... na shati la.... na viatu vile.... nakadhalika.

(Daa umependeza my infii, na amejitahidi kunyoosha vizuri kwa kweli, twende zetu my infii)

Jamani tafadhali.
 
WE ARE HAPPY TO ANNOUNCE A CHANGE ON OUR BELOVED CLUB NAME FROM INFIDILETORS SOCIAL CLUC (ISC) TO MPANGO MZIMA SOCIAL CLUB (MMSC)

However, this change will not in anyhow affect our dedicated team of leaders

Uhuru kwangu unamaanisha 'where we dare to talk openly' na sio 'where we dare to DO crazly'
imepita hiyo......!
BILA KUPINGWA
 
Smiles hebu tuletee tips za majarida zinasemaje 'on how to keep the flame burning for MPANGO MZIMA' ili MPANGO WA NJE uwe hauna dili

Kimey yeye alishagoma kurudi na mama mwenye nyumba shambani jioni wakiwa wameshikana mikono ilhali mchana kutwa wameshinda wakilipalilia

The "tips" are inside ur hearts...
What u feel inside there is what could keep the flame burning!
Zaidi ya hapo kama ni kujenga au kubomoa mnaamua wenyewe...
 
Kwa hiyo mmekonkludi yupi mtamu kati ya waifu na baadhi ya wasaidizi wake?
 
The "tips" are inside ur hearts...
What u feel inside there is what could keep the flame burning!
Zaidi ya hapo kama ni kujenga au kubomoa mnaamua wenyewe...

and for whatever that gives you smile, si ndio?
 
dah hii siledi inavyokimbia mwe kungekuwa hakuna stori za infi (oh no sorry wapendwa msijekwazika) ngoja nitumie tasfida yake mpango wa nje, MMU ingekufa walahi
 
dah hii siledi inavyokimbia mwe kungekuwa hakuna stori za infi (oh no sorry wapendwa msijekwazika) ngoja nitumie tasfida yake mpango wa nje, MMU ingekufa walahi
Afu wewe unajua unatishia safari yangu ya kwenda mbinguni?
 
Hivi babu watoto kuwa siri ya mama ni mpango mzima?
Umeonae? tatizo wanabisha hawa viumbe. Afu kijana umewiva kwenye kusoma katikati ya mistari. Chagua mjukuu mmoja nikupe mafunzo ya kukagua....For free.
 
Back
Top Bottom