''MAMA MWENYE NYUMBA'' vs ''MPANGO WA KANDO''-WHO ENJOYS?

''MAMA MWENYE NYUMBA'' vs ''MPANGO WA KANDO''-WHO ENJOYS?

Lady wa busara, hebu tuangalie utaratibu wa ku-test mpango......ikitokea ukawa mpango wa nje isiwe tabu.

big wa rita hakuna kitu inauma kama kugundua kuna kampango ka nje,,,kucheza na feelings za mtu mbaya sana,,,never cheat eeh
 
Chairman nilikuuliza ila ukaingia mitini

Kwanini watu wanaoa na kuolewa?

Hili swali tumwulize the newest kwenye hii institutiion@TEAMO!:A S crown-1:
 
We acha tu wao ndo wakula matunda tunayopalilia sie wa kulinda miji na watoto wasiporomoke ili akinywa bia ishuke bila mawaa kazi tunayo

umeona dada chauro eeh, ndo maana nahisi infii anafaida, unaogesha, unafua, unalisha, akiumwa unauguza,
mambo yakikaa sawa, my infii kuna mech ya assernal na ........ Uko wapi mamaaaaaaa.

Tafadhali jamani..
 
KUTOKANA NA NENO INFIDELITY KUONEKANA KUKERA MIONGONI WA WANAJAMVI, NAPENDEKEZA KUWA NENO RASMI KUMAANISHA HIVO HUMU JAMVINI LIWE 'MPANGO MZIMA'

Gonga senks kama unaunga mkono hoja
Vere vere MAGAZIJUTO
 
ukiingia kwenye ndoa ukiwa unaniamini basi tutadumu kazi za nje tutakuwa tunazisikia kwa wengine tu

eti ee, lakini nyie (wanaume) si huwa hamtabiriki??
Leo mwekundu kesho wa kijani.
 
Hili swali tumwulize the newest kwenye hii institutiion@TEAMO!:A S crown-1:
kaizer anaambaa ambaa na mpira anampa TEAMO....TEAMO PALE,HATARI PALE KATIKA LANGO LA F(_)B.....TEAMOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

IT'S A GOAL
 
We acha tu wao ndo wakula matunda tunayopalilia sie wa kulinda miji na watoto wasiporomoke ili akinywa bia ishuke bila mawaa kazi tunayo
MLA HULIWA!
Una maanisha kwa uwazi huu, hauwezi kulinda maslahi ya kidume ili kinywe bia kwa raha?
 
Hivi hili tatizo la kitufe cha senks ni kwangu tu? ama mtandao sio mzuri? aah!:redfaces:
 
Nisome vizuri unajaribu kuchakachua na signature yangu lakini hii ni kuwakumbusha tu kwamba hilo ni duara linazunguka mpaka kwa mkeo tusihalalishe sana vimbunje vetu vikakata kamba mapema

mla huliwa!
una maanisha kwa uwazi huu, hauwezi kulinda maslahi ya kidume ili kinywe bia kwa raha?
 
WAKUU,
HABARINI ZA MAJILIO?

naomba mawazo yenu katika muendelezo ule ule wa ''kuelezana ukweli unaohuzunisha''.....

ASSUMING KWAMBA SITUATION IMETOKEA HIVYO na baba mwenye nyumba ameamua kuwa na ''mpango wa kando'' kwa sababu zozote zile,mi nataka tupeane mawazo kwamba hivi ni nani anaeinjoi mapenzi zaidi ya mwenzake kati ya:

1)-MAMA MWENYE NYUMBA

-ambaye ndo mke wako wa ndoa
-ambaye ndo yuko responsible bega kwa bega na wewe katika kuikuza familia
-ambaye anavumilia kwa hali yoyote ile muda wowote ule utakao amua kurudi
-ambaye muda wote wa usiku wa giza anakuwa na mawazo kibao kwamba ''mume wangu amepatwa na nini''
-ni mke wako ''enewei'' na she is entitled to whatever is brought for the family
-ambaye utakata roho ukiwa mikononi mwake

2)-MPANGO WA NJE.
-she is entitled to kampani,route na vikao vyote vya pombe/movie etc
-anapewa nafasi ya kuagiza chochote anachotaka mkiwa baa
-anapewa nafasi ya kupelekwa shoping na kujiagizia chochote
-anakuwa na uhakika wa credits,means za tranzport (hata kumrash home kila siku sio ishu)
-anapewa nafasi adimu ya kuchat na wewe 24/7
-anapewa nafasi ya kudeka anavyotaka
-anapewa nafasi ya kunisindikiza arusha kuungana na pakajimi na kampani kubwa ya jf ya ARACHUGA


TUSAIDIANE HAPO MAWAZO,who is enjoying?
....and why?
Muda mwingine mpango wa kando unanufaisha mpango wa ndani hata kama anakuwa hajaridhia. sio wote mipango ya kando wanatakwa na waume za watu bali wanawataka wao na hata wasipogharamikiwa hawalalamiki.
 
counter kiss,,,kauli mbiu, say no to mpango wa nje
Ni wewe tu Swirr no mpango wa nje!
kamata hii hapa chini!
The Following User Says Thank You to Wiselady For This Useful Post:

Kimey (Today)

 
WE ARE HAPPY TO ANNOUNCE A CHANGE ON OUR BELOVED CLUB NAME FROM INFIDILETORS SOCIAL CLUC (ISC) TO MPANGO MZIMA SOCIAL CLUB (MMSC)

However, this change will not in anyhow affect our dedicated team of leaders

Uhuru kwangu unamaanisha 'where we dare to talk openly' na sio 'where we dare to DO crazly'
 
Back
Top Bottom