LD
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 3,014
- 578
usifanye infi mwaya,,,sawa eeeh
sawa dada, nitaomba Mungu anipe mume mwema dada.
Mtumishi wa Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usifanye infi mwaya,,,sawa eeeh
Bado tupo kwenye topic ile ile au kuna issue mpya tunadiscuss.....:confused2:
hujanipata vizuri Chauro....hakuna kitu nakipinga kama hiki, ni kwa vile tu ukisoma mabandiko ya humu ndani wazee wanakuambia hakuna mwanaume mwenye kuweza kukaa na mwanamke mmoja, na akitoka nje c bora ujue kama anatoka bac, na je ucpojua ukakaa ukajifariji kumbe magonjwa yanakunyemelea taratibu?....ishu kwangu sio kurudi ishu kwangu ni kwa hao warembo wanaokubali kuweka uzuri wao rehani na kutembea na waume za watu wakijua fika hawana future nao ila mwisho wa cku wanarudi kwa wanaowaita"wife"...nakemea hao wadada kwa nguvu zote nikiwaambia "ringieni uzuri/urembo wenu".....hawa wazee(Asprin) wacwadanye mwisho wa cku wanakimbilia kwa wife zao na adabu zote.
huo ndo ukweli unaotuzunguka,,hata usipozungumzwa ulikuwepo na upo,,,sitaki kuamini kuwa maneno ya keyboard ndo matendo,,lkn huo ndo ukweli
Eti nini........mpaka umpate huyo mume?shauri yako...............................
''MAMA MWENYE NYUMBA'' vs ''MPANGO WA KANDO''-WHO ENJOYS?
Mambo mpenzi? Missed you aisee....
Mbona wataka kuharibu taimingi za watu hivi hivi?
ha ha ha ha!
shauri yangu nini bacha, hakuna kisichowezekana bacha
Bado tupo kwenye topic ile ile au kuna issue mpya tunadiscuss.....:confused2:
ld nasubiria pm yako mimi sitaki kazi za nje kabisa
unachokiongea nyamayao ni sawa kwahiyo unahalalisha kwao kulala ovyo uko nje hapa sijakuelewa dada una maana gani kwa hiyo atembee tu huko halafu atakimbilia kwangu nimpokee sababu ni mume mbona kama tunachanganya mambo huwa tunajisahau sana na kuamini ukishaolewa unapendwa wewe tu na hakuna kingine bado naamini kuna security ambayo ndoa inatupa ndio inatufanya wanaume waweze kuandika haya na sisi tunasapoti kuamini atarudi tu na magonjwa je mapenzi yanagawanyika wapi uliona usafishe chupi usiku mwingine akaweka utando wake halafu atarudi najua atarudi sababu ya hii NDOA
nimekumiso pia my darling!......wacha tu niaribu kunusuru hawa warembo, wanataka kukwepa majukumu wanaishili kupita njia za panya(waingie ndani waicheze hii ngoma)
''MAMA MWENYE NYUMBA'' vs ''MPANGO WA KANDO''-WHO ENJOYS?
umeona dada chauro eeh, ndo maana nahisi infii anafaida, unaogesha, unafua, unalisha, akiumwa unauguza,
mambo yakikaa sawa, my infii kuna mech ya Assernal na ........ uko wapi mamaaaaaaa.
Tafadhali jamani..
umeona dada chauro eeh, ndo maana nahisi infii anafaida, unaogesha, unafua, unalisha, akiumwa unauguza,
mambo yakikaa sawa, my infii kuna mech ya assernal na ........ Uko wapi mamaaaaaaa.
Tafadhali jamani..
infidelity in swahili version.... Second edition
aisee ST RR hapo juu hii thread haijapelekwa off-topic tangu imeanzwa....
mtumie pm nyamayao ataelewa tu