''MAMA MWENYE NYUMBA'' vs ''MPANGO WA KANDO''-WHO ENJOYS?

''MAMA MWENYE NYUMBA'' vs ''MPANGO WA KANDO''-WHO ENJOYS?

Hilo la wewe kubaki peke yako siliafiki ila mimi nilikuwa nashauri mimi na wewe tuwe mwili mmoja ili tuepuke hizi "KAZI ZA NJE"

Mmmm the finest hata wewe si mwanaume, nitakuamini je baba.
Eti wewe utakua mwaminifu asilimia mia moja kwene ndoa yetu.
 
hebu cheki na kimey aliniambia ana mpango wa nje huko usalule sasa sijui ufunge safari uende huko

si rahisi kimey apate mpango wa nje,,maana niko vry innovative mwenyewe anachanganyikiwa,,nikichanganya na mlimani dah!
 
Napenda kuweka malalamiko yangu rasmi.....hii thredi inaenda haraka kupita maelezo.....kurasa 10 kabla sijasoma ukurasa wa kwanza?
@Teamo....hii thredi imelenga kupata maoni ya MMN na MN?....napendekeza hii thredi iwe exclusive kwa wale ambao ni MMN na MN....wapi Da Sophy?
[@Asprin/Kaizer: (Sensa na ule mpango wa PJ aruchaga?)]

(kama kawaida mkku st RR ila Teamo anadai eti tunachakachua sredi)
 
Bado tupo kwenye topic ile ile au kuna issue mpya tunadiscuss.....:confused2:

Smiles hebu tuletee tips za majarida zinasemaje 'on how to keep the flame burning for MPANGO MZIMA' ili MPANGO WA NJE uwe hauna dili

Kimey yeye alishagoma kurudi na mama mwenye nyumba shambani jioni wakiwa wameshikana mikono ilhali mchana kutwa wameshinda wakilipalilia
 
maana yangu hapo ni kwamba kuolewa sio RULE....!kwamba muda ukifika lazima uolewe....wakat mwingine sio lazima uolewe ndo maana wengine wanalazimisha

Hapa tupo ukurasa mmoja kiongozi....
 
Swali la mwisho.....mwenye kosa hapa ni nani?
MMN au MN au mmiliki wa mipango hiyo miwili?

hapa kosa ni la kwako wewe mr wangu...1..kwa kutokuridhika na ulichonacho(wife)...2...kwa kunidhalilisha kuchunguliwa chunguliwa nje(kuvua chupi bila displine)...3..kwa uvujishaji wa pesa za maendeleo ya familia....hapo hawara yako anatakiwa akae kimya kimya kabisa hata acnyanyue mdomo akiona nakurushia chupa, akifanya hivyo kibao kitageuka!
 
hakika ''mpango wa kando'' ndo mpango mzima....
chekini wenyewe hapo:
There are currently 60 users browsing this thread. (27 members and 33 guests)
 
Lady wa busara, hebu tuangalie utaratibu wa ku-test mpango......ikitokea ukawa mpango wa nje isiwe tabu.
 
hapa kosa ni la kwako wewe mr wangu...1..kwa kutokuridhika na ulichonacho(wife)...2...kwa kunidhalilisha kuchunguliwa chunguliwa nje(kuvua chupi bila displine)...3..kwa uvujishaji wa pesa za maendeleo ya familia....hapo hawara yako anatakiwa akae kimya kimya kabisa hata acnyanyue mdomo akiona nakurushia chupa, akifanya hivyo kibao kitageuka!

:ballchain:
 
KUTOKANA NA NENO INFIDELITY KUONEKANA KUKERA MIONGONI WA WANAJAMVI, NAPENDEKEZA KUWA NENO RASMI KUMAANISHA HIVO HUMU JAMVINI LIWE 'MPANGO MZIMA'

Gonga senks kama unaunga mkono hoja
 
mmmm the finest hata wewe si mwanaume, nitakuamini je baba.
Eti wewe utakua mwaminifu asilimia mia moja kwene ndoa yetu.

ukiingia kwenye ndoa ukiwa unaniamini basi tutadumu kazi za nje tutakuwa tunazisikia kwa wengine tu
 
Back
Top Bottom