WiseLady
JF-Expert Member
- Jan 22, 2010
- 3,268
- 531
Bado upo mlimani? Nimekumiss ujue!!
nnavyo kaa mlimani nazidi kukupenda,,,pls kaa mbali na mpango wa nje maana huna unachokikosa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado upo mlimani? Nimekumiss ujue!!
afadhali uwaambie umewasomaa
mwanaume walio wengi wakitoka nje ucdhani atadumu na wewe kivile, akimaliza kale ka uzuri kako ujue atatafuta mwingine, jinc mie mke wake anavyonifanyia ndio atakavyokufanyia wewe, mie c ziwa limedondoka kwa kumnyonyesha yeye na wanae, sasa wewe kalidondosha kwa kubembea nalo....hapo faida ipo kwangu japo atakumbuka kuna familia atatimua mbio kurudi hme....baadhi ya wadada nawashangaa sana,hebu mjifunze kuringia usichana wenu...huyu mume wa mtu anakupimia muda anatoka saa mbili anakuambia namuwahi "wife"...we umeridhika tu kutumika, labda awe gold digger nitamuelewa otherwise hakunaga mapenzi ya kweli kutoka kwa mume wa mtu, tena mwanaume anaeijali familia yake ndio kabisaaa wanajua kuwapotezea warembo muda....
chauro "kidunguche" ndio wapi????
unachokiongea nyamayao ni sawa kwahiyo unahalalisha kwao kulala ovyo uko nje hapa sijakuelewa dada una maana gani kwa hiyo atembee tu huko halafu atakimbilia kwangu nimpokee sababu ni mume mbona kama tunachanganya mambo huwa tunajisahau sana na kuamini ukishaolewa unapendwa wewe tu na hakuna kingine bado naamini kuna security ambayo ndoa inatupa ndio inatufanya wanaume waweze kuandika haya na sisi tunasapoti kuamini atarudi tu na magonjwa je mapenzi yanagawanyika wapi uliona usafishe chupi usiku mwingine akaweka utando wake halafu atarudi najua atarudi sababu ya hii NDOA
lakin hapa jf realistic HAITAKIWI!ikiongelewa inakuwa kama una GLORIFY
unachokiongea nyamayao ni sawa kwahiyo unahalalisha kwao kulala ovyo uko nje hapa sijakuelewa dada una maana gani kwa hiyo atembee tu huko halafu atakimbilia kwangu nimpokee sababu ni mume mbona kama tunachanganya mambo huwa tunajisahau sana na kuamini ukishaolewa unapendwa wewe tu na hakuna kingine bado naamini kuna security ambayo ndoa inatupa ndio inatufanya wanaume waweze kuandika haya na sisi tunasapoti kuamini atarudi tu na magonjwa je mapenzi yanagawanyika wapi uliona usafishe chupi usiku mwingine akaweka utando wake halafu atarudi najua atarudi sababu ya hii NDOA
wengine huanza siku moja baada ya kufunga ndoa
huo ndo ukweli unaotuzunguka,,hata usipozungumzwa ulikuwepo na upo,,,sitaki kuamini kuwa maneno ya keyboard ndo matendo,,lkn huo ndo ukweli
Chauro mume wa ndoa ni mume wako tu wala usiwe na wasiwasi akirudi mpokee kwa mabusu na bashasha zote hata kama ametoka kwenye kazi za nje ingawa wewe haujui
the finest mbona unanitisha mwenzio, unataka kunambia bora nibaki hivi hivi nilivyo sasa.
manake infii noma, mume nae ndo hivyo ujiandae kukabidhiana na mavituko ya hapa na pale.
duu
unachokiongea nyamayao ni sawa kwahiyo unahalalisha kwao kulala ovyo uko nje hapa sijakuelewa dada una maana gani kwa hiyo atembee tu huko halafu atakimbilia kwangu nimpokee sababu ni mume mbona kama tunachanganya mambo huwa tunajisahau sana na kuamini ukishaolewa unapendwa wewe tu na hakuna kingine bado naamini kuna security ambayo ndoa inatupa ndio inatufanya wanaume waweze kuandika haya na sisi tunasapoti kuamini atarudi tu na magonjwa je mapenzi yanagawanyika wapi uliona usafishe chupi usiku mwingine akaweka utando wake halafu atarudi najua atarudi sababu ya hii NDOA
TF, hebu jaribu kupiga picha ya upande wa pili? Unaweza kumpokea kwa mabusu my wife wako akitoka kwenye infi?
chauro mume wa ndoa ni mume wako tu wala usiwe na wasiwasi akirudi mpokee kwa mabusu na bashasha zote hata kama ametoka kwenye kazi za nje ingawa wewe haujui
NYAMAYAO ENDELEA MAMA!.....
nadhani nimeanza kukuelewa wewe ni nani
hujanipata vizuri chauro....hakuna kitu nakipinga kama hiki, ni kwa vile tu ukisoma mabandiko ya humu ndani wazee wanakuambia hakuna mwanaume mwenye kuweza kukaa na mwanamke mmoja, na akitoka nje c bora ujue kama anatoka bac, na je ucpojua ukakaa ukajifariji kumbe magonjwa yanakunyemelea taratibu?....ishu kwangu sio kurudi ishu kwangu ni kwa hao warembo wanaokubali kuweka uzuri wao rehani na kutembea na waume za watu wakijua fika hawana future nao ila mwisho wa cku wanarudi kwa wanaowaita"wife"...nakemea hao wadada kwa nguvu zote nikiwaambia "ringieni uzuri/urembo wenu".....hawa wazee(asprin) wacwadanye mwisho wa cku wanakimbilia kwa wife zao na adabu zote.