Mama mwenye Radio E FM amekuwa mtangazaji baada ya Maulid Kitenge kuondoka

Siku zote biashara ukitaka ife, basi weka undugu. Katika biashara ukitaka iendelee kusimama, wrka watu baki ambao wataogopa kufanya hujuma yoyote kwa ajili ya kulinda kazi yao. Naitabiria Efm kifo baada ya muda fulani. Hii ni kwa sababu, atakachotaka Elizabeth kipite hata kama ni cha kijinga kisicho na maslahi ndicho kitapita. Isitoshe huyu ni msanii, sasa mafunzo ya utanfazaji amepata lini?
 
Ataweza tuu ndo kujifunza huko huko mbona zembwela ameweza kwa sasa anakimbiza na sio zembwela tuu mbana mpoki nae ni mtangaji au kicheko wako wengi nikiwaelezea hapa simalizi leo.
 

Ukihoji Lulu amepata wapi na lini Mafunzo ya Utangazaji na Uandishi wa Habari je, unaweza ukatuambia na akina Swebe, Mpoki na Dokii ambao wanafanya vyema katika Vipindi vyao na pia ni miongoni mwa Watu wanaoongoza Kulipwa vyema hapo Efm nao walipata wapi Mafunzo yao ya hiyo Fani Mkuu? Halafu kwani ukiwa Msanii ndiyo hufai kuwa Mtangazaji? Una Hoja mahala fulani ila tatizo lako umeshindwa kidogo Kuzipanga Kimtiririko wake japo kwa ' Observation ' yako kuwa kwa Lulu nae kuwa Mtendaji kama hakutakuwa na Uangalifu na Usimamizi kunaweza kukaharibu mambo hapo na hatimaye hiyo Redio ikaanza kupoteza mwelekeo wake na hatimaye Kupotea kama siyo Kufa kabisa Kiushindani nakuunga mkono kwa 100%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…