Mama mwenye Radio E FM amekuwa mtangazaji baada ya Maulid Kitenge kuondoka

Mama mwenye Radio E FM amekuwa mtangazaji baada ya Maulid Kitenge kuondoka

Wamebugiii meeeen E fm itakufa soon asbh nlikua nlikua sikozi kusikiliza mauchambuzi ya Maulid na Musa na Hando plus Bigmama. Kwa sasa sitaki hata kuisikia tena
Hivi kukisikiliza hiko kipindi, ukiwa unasikiliza mnakilipia unaposema radio itafilisika?
 
Safi sana kusaga kwa kumchukua Maulid Kitenge.
Transaction haimuathiri Kusaga

Yupo kote Efm na Wasafi

Ila nadhan fair competition ilibid waingilie haya mambo, it's not fair kwa Kusaga kuruhusiwa kufanya haya
 
Transaction haimuathiri Kusaga

Yupo kote Efm na Wasafi

Ila nadhan fair competition ilibid waingilie haya mambo, it's not fair kwa Kusaga kuruhusiwa kufanya haya
Yeye ni mwanahisa tu FCC haiwezi kumbana ni kama wewe uamue kununua hisa DANGOTE na TWIGA Cement.
 
Siku zote biashara ukitaka ife, basi weka undugu. Katika biashara ukitaka iendelee kusimama, wrka watu baki ambao wataogopa kufanya hujuma yoyote kwa ajili ya kulinda kazi yao. Naitabiria Efm kifo baada ya muda fulani. Hii ni kwa sababu, atakachotaka Elizabeth kipite hata kama ni cha kijinga kisicho na maslahi ndicho kitapita. Isitoshe huyu ni msanii, sasa mafunzo ya utanfazaji amepata lini?

kabla hajawa msanii alikuwa mtoto mtangazaji Tv...ha ha
 
Uzuri radio za wacheza Singeli hua sina nazo shobo,so fresh tu.
 
Biashara haiwezi kufa kwa kumuweka ndugu bali inakufa kwa kutofata misingi ya biashara !

Lulu ni mtangazaji mzuri ana fundishika vizuri na anao uwezo mzuri tuu anafundishika vizuri tuu!
Swala la watu kukataa mabadiliko ni swala la kawaida kabisa... maana wamemzoea Kitenge hivyo bado yuko kichwani mwao ni muda tuuu!

Lulu anao uwezo mzuri tuu watamkubali baadaye....
Kweli kabisa, hata kabla ya kitenge alikuwepo mkongwe PJ ambaye watu walimzoea. Lakini alipoondoka nafasi ikachukuliwa na Kitenge na watu wakamzoea pia.
 
Back
Top Bottom