Mama mwenye Radio E FM amekuwa mtangazaji baada ya Maulid Kitenge kuondoka

Wamebugiii meeeen E fm itakufa soon asbh nlikua nlikua sikozi kusikiliza mauchambuzi ya Maulid na Musa na Hando plus Bigmama. Kwa sasa sitaki hata kuisikia tena
Hivi kukisikiliza hiko kipindi, ukiwa unasikiliza mnakilipia unaposema radio itafilisika?
 
Safi sana kusaga kwa kumchukua Maulid Kitenge.
Transaction haimuathiri Kusaga

Yupo kote Efm na Wasafi

Ila nadhan fair competition ilibid waingilie haya mambo, it's not fair kwa Kusaga kuruhusiwa kufanya haya
 
Transaction haimuathiri Kusaga

Yupo kote Efm na Wasafi

Ila nadhan fair competition ilibid waingilie haya mambo, it's not fair kwa Kusaga kuruhusiwa kufanya haya
Yeye ni mwanahisa tu FCC haiwezi kumbana ni kama wewe uamue kununua hisa DANGOTE na TWIGA Cement.
 

kabla hajawa msanii alikuwa mtoto mtangazaji Tv...ha ha
 
Mimi naona sawa, nikimkumbuka Lulu akitangaza kipindi cha watoto enzi zile ITV, naona kafanya jambo la maana kabisa.
 
Uzuri radio za wacheza Singeli hua sina nazo shobo,so fresh tu.
 
Eti niweke pumbu chini namsikiliza Lulu anidadavulia habari za michezo na mambo mengine.

Mimi!
kabisaaaaa uweke kijambio chini umskilize lulu???CCM SIJUI WANATUPELEKA WAPI 🥴 🥴 🥴
 
Kweli kabisa, hata kabla ya kitenge alikuwepo mkongwe PJ ambaye watu walimzoea. Lakini alipoondoka nafasi ikachukuliwa na Kitenge na watu wakamzoea pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…