TANZIA Mama mzazi wa DC Jerry Muro afariki dunia

TANZIA Mama mzazi wa DC Jerry Muro afariki dunia

Too much ndio nini Grahams!?
Au kufa kwa huyu mama wa Jerry ndio too much?
Kwani January ya mwaka 2020 na mwaka 2019 walikufa watu wangapi hadi hii january ya 2021iwe ni too much?

Tusikufuru
Kwa nchi isiyo / isiyoweka / isiyotumia data utajuaje?

Tungekuwa tuna data za kueleweka, moratlity rate, birth rate n.k. za uhakika basi hizi guess work zingeisha (ila wengine wanaona kuweka / kupata data ni uchuro)
 
It's all about developed pneumonia,when comes and knocks in your door you'll figure it out
Kwani unadhani kuna mtu anapenda kufa, au ndugu zake, jirani zake, marafiki zake au wananchi wafe?
Kama unaelewa ndivyo ilivyo basi chukua tahadhari
 
Mungu amlaze mahala pema peponi..Amen.
 
Kasi ya kupashana habari na sensitivity za watu kuhusu alleged covid-19 ndivyo hufanya ionekana as if kuna mafuriko ya vifo. This is normal. Jambo la msingi watu tumrudie Mola na kuzidi kumtanguliza deile. Death down here is almost inevitable.
 
Watu wanakufa kila siku tangu kuumbwa kwa dunia, ila wakifa watu maarufu ndio tunashtuana
Nadhani sintofahamu ya Covid19 imepelekea yote haya. Kila Tanzia wameamua kuileta humu
 
Kwani unadhani kuna mtu anapenda kufa, au ndugu zake, jirani zake, marafiki zake au wananchi wafe?
Kama unaelewa ndivyo ilivyo basi chukua tahadhari
Usiuhusie tahadhari kwa kundi dogo la watu humu JamiiForums toka kwenye public waambie kua covid ipo na watu wanatakiwa uchukue tahadhari na anaekufa kwa covid mseme Kua amekufa kwa covid na sio kutuambia severe pneumonia HUO NI USHAMBA.
 
Back
Top Bottom