TANZIA Mama mzazi wa DC Jerry Muro afariki dunia

TANZIA Mama mzazi wa DC Jerry Muro afariki dunia

Naona mmeamua kupageuza JF kuwa mtaaa wa Tanzia. Sawa tu, ila mkae mkijua uchaguzi umeisha. Sisi tunaendelea kuchapa kazi ili kulijenga taifa zuri la Tanzania [emoji1241] chini ya kiongozi madhubuti John Magufuli eikeiei Bulldozer.
 
Nadhani sintofahamu ya Covid19 imepelekea yote haya. Kila Tanzia wameamua kuileta humu

Wewe unashauri je? Ndugu wasitoe taarifa za vifo au ile ban ya mzee baba iihusu na JF pia?

Ile mijamaa ya kile chama, khaaaa!
 
IMG_20210125_152918.jpg
 
Kwenye jimbo la Jerry Muro kura zilichakachuliwa? Kama zilichakachuliwa sina maumivu yoyote na hili.
 
Naona mmeamua kupageuza JF kuwa mtaaa wa Tanzia. Sawa tu, ila mkae mkijua uchaguzi umeisha. Sisi tunaendelea kuchapa kazi ili kulijenga taifa zuri la Tanzania [emoji1241] chini ya kiongozi madhubuti John Magufuli eikeiei Bulldozer.

Kwani nani mzururaji? Kwa taarifa yako hata ingekuwa serikali iliyoingia kwa Mapinduzi ya kijeshi, bado watu wangeendelea kuchapa kazi, ila hatuna uchungu na mwizi yoyote wa kura.
 
You are right madam

Angalia threads za Tanzia humu, ndiyo kwanza January vipi tukifikia December?

But mapenzi yake yatimie
acha ujinga, kila siku kila mwaka kila karne watu wanakufa hapo Muhimbili, Mwananyamala , Amana na kwengineko, hakuna cha January wala December
au kwakua izi Tanzia zinaletwa uku JF ?
na ujinga kuleta kila Tanzia jukwaani
man up idiot
 
Watu wanakufa kila siku tangu kuumbwa kwa dunia, ila wakifa watu maarufu ndio tunashtuana
Sio kweli waliokaribu na hospital waulize watakupa habari yake au wauza majeneza watakwambia kipato kilivyoongezeka january hii.
 
acha ujinga, kila siku kila mwaka kila karne watu wanakufa hapo Muhimbili, Mwananyamala , Amana na kwengineko, hakuna cha January wala December
au kwakua izi Tanzia zinaletwa uku JF ?
na ujinga kuleta kila Tanzia jukwaani
man up idiot
What is wrong with you guy??
 
Back
Top Bottom