Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 16,096 Reaction score 49,651 Jan 25, 2021 #61 johnhance said: acha ujinga, kila siku kila mwaka kila karne watu wanakufa hapo Muhimbili, Mwananyamala , Amana na kwengineko, hakuna cha January wala December au kwakua izi Tanzia zinaletwa uku JF ? na ujinga kuleta kila Tanzia jukwaani man up idiot Click to expand... What is wrong with you guy??
johnhance said: acha ujinga, kila siku kila mwaka kila karne watu wanakufa hapo Muhimbili, Mwananyamala , Amana na kwengineko, hakuna cha January wala December au kwakua izi Tanzia zinaletwa uku JF ? na ujinga kuleta kila Tanzia jukwaani man up idiot Click to expand... What is wrong with you guy??
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Jan 25, 2021 #62 Jasmoni Tegga said: OP & PR Out of point Poor Reasoning Click to expand... Ajabu na kweli tokea kwa ile mijamaa ya chama fulani. Ni shida!
Jasmoni Tegga said: OP & PR Out of point Poor Reasoning Click to expand... Ajabu na kweli tokea kwa ile mijamaa ya chama fulani. Ni shida!
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,239 Reaction score 11,731 Jan 25, 2021 #63 tindo said: Mbona kwenye uchaguzi mliua watu ili mkae madarakani? Click to expand... Na wengine wamewazuiliwa jela! Ila namba tunaisoma wote
tindo said: Mbona kwenye uchaguzi mliua watu ili mkae madarakani? Click to expand... Na wengine wamewazuiliwa jela! Ila namba tunaisoma wote
T Tulinje twayene Senior Member Joined Aug 7, 2020 Posts 141 Reaction score 184 Jan 25, 2021 #64 R.I.P mama
Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 9,758 Reaction score 18,431 Jan 25, 2021 #65 RIP, pole Mkuu