Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
RIP 🙏🏻 🪦Voletta Wallace, mamake marehemu nyota wa hip-hop Notorious B.I.G., amefariki dunia. Alikuwa na umri wa miaka 72. TMZ inaripoti Wallace alikufa kwa sababu za asili Ijumaa asubuhi huko Stroudsburg, Pennsylvania. Inasemekana alikuwa katika uangalizi wa hospice wakati wa kuaga kwake.
Voletta alitumia muda mwingi wa maisha yake kubeba urithi wa mwanawe baada ya kuaga dunia mwaka wa 1997. Mara nyingi alieleza jinsi ilivyokuwa muhimu kusimulia hadithi yake kwenye skrini kubwa, na kufikia kilele cha onyesho la kwanza la sinema la Notorious mnamo 2009.
View attachment 3245156
may she rest in peace.RIP 🙏🏻 🪦
RIPVoletta Wallace, mamake marehemu nyota wa hip-hop Notorious B.I.G., amefariki dunia. Alikuwa na umri wa miaka 72. TMZ inaripoti Wallace alikufa kwa sababu za asili Ijumaa asubuhi huko Stroudsburg, Pennsylvania. Inasemekana alikuwa katika uangalizi wa hospice wakati wa kuaga kwake.
Voletta alitumia muda mwingi wa maisha yake kubeba urithi wa mwanawe baada ya kuaga dunia mwaka wa 1997. Mara nyingi alieleza jinsi ilivyokuwa muhimu kusimulia hadithi yake kwenye skrini kubwa, na kufikia kilele cha onyesho la kwanza la sinema la Notorious mnamo 2009.
View attachment 3245156
Angalau ali ishi na kuhadithia story ya mwanae.
Unge andika duh aisee, ninge kuchapa fimbo
Jay Z na Lil Wayne pia huwa hawaandiki rhymes zao.Kuna ngoma ya notorious b.i.g kwenye album yake ya mwisho READY TO DIE inaitwa..."Your no body till somebody kills you" ni Moja ya ngoma yangu Bora kabisa ya Muda wote
Naskia jamaa alii record bila kutumika kalamu, iliwekewa beat tu akashuka nayo bila kuandika chochote, na hii ndio sifa kuu ya notorious b.i.g nyimbo zake karibia zote hajatumia kalamu kabisa alafu anapiga ma punch kama yoteee Yani...noma sana
Ila Hawa wapo ki commercial zaidi, hawaandiki ila wanaimba bila punchlines ili kutengeneza pesa.....notorious alikuwa anapiga punch kuntu kabisa na ndio alichokuwa anamzidi PacJay Z na Lil Wayne pia huwa hawaandiki rhymes zao.
Ushimen sorry for the loss of your classmateListening to suicide thought by n. b.i.g 🔥 🔥 🔥
View attachment 3245157
Kasikilize suicide thought ni zaidi ya kwere.Kuna ngoma ya notorious b.i.g kwenye album yake ya mwisho READY TO DIE inaitwa..."Your no body till somebody kills you" ni Moja ya ngoma yangu Bora kabisa ya Muda wote
Naskia jamaa alii record bila kutumika kalamu, iliwekewa beat tu akashuka nayo bila kuandika chochote, na hii ndio sifa kuu ya notorious b.i.g nyimbo zake karibia zote hajatumia kalamu kabisa alafu anapiga ma punch kama yoteee Yani...noma sana
Eminem ana andika Sana, na Jamaa ni fundi haswaa.Ila Hawa wapo ki commercial zaidi, hawaandiki ila wanaimba bila punchlines ili kutengeneza pesa.....notorious alikuwa anapiga punch kuntu kabisa na ndio alichokuwa anamzidi Pac
2pac ye alikuwa anatumia nguvu nyingi kufoka, ila mwamba ye alikuwa anachana kaChill kama Hana habari kabisa
Ndio maana siku zote mtu anaye mpambanisha notorious na Pac arudi darasani akajifunze mziki Bado sanaa
Sio kweli. Hata Biggie alikuwa commercial, unless hujui maana ya commercial. Halafu unasema Jay na Weezy hawana punchlines? What are you talking about?Ila Hawa wapo ki commercial zaidi, hawaandiki ila wanaimba bila punchlines ili kutengeneza pesa.....notorious alikuwa anapiga punch kuntu kabisa na ndio alichokuwa anamzidi Pac
2pac ye alikuwa anatumia nguvu nyingi kufoka, ila mwamba ye alikuwa anachana kaChill kama Hana habari kabisa
Ndio maana siku zote mtu anaye mpambanisha notorious na Pac arudi darasani akajifunze mziki Bado sanaa
2pac azidiwe na Biggie daah kwa nyimbo zipi..Ila Hawa wapo ki commercial zaidi, hawaandiki ila wanaimba bila punchlines ili kutengeneza pesa.....notorious alikuwa anapiga punch kuntu kabisa na ndio alichokuwa anamzidi Pac