Mama mzazi wa marehemu Notorious B.I.G afariki dunia

Biggie ni hatar kka,sema mainstream imeamua kumpa airtime Pac! But Christopher Wallace was something else bro.
Nimekuuliza Biggie ni hatari kwa nyimbo zipi tuanzie hapo si kuzitaja tu harafu utajiwe na nyimbo za Pac uone nani alikua anaimba zaidi sema ukishakua na upande wako wa East ni ngumu kuelezwa mambo ya West Side ya kipindi hicho na ukakubaliana nayo.
 
Nataka uweke tracks za Biggie zilizozidi za Pac, Dis songs na Neutral na ufanye mlinganisho
Wakuu naona mme Anza east vs west😂

Back
Top Bottom