Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Mwendazake huyo akienda hudhuria harusi ya mtoto wake na kupatwa na ajali hiyo mbaya usiku wa kuamkia Desemba 20,2020 maeneo ya Afrikana Jijini Dar es Salaam.
Bwana Harusi aendaye kwa jina la Tom ni nduguye na MC Pilipili na Mamayao aliwasili Jijini Dar es salaam akitoke Dodoma ili kuhudhuria sherehe hiyo.
Taarifa zinadai mwendazake huyo alipata ajali hiyo mbaya iliyochukua uhai wake akiwa amepanda bodaboda moja almaarufu mishkaki pamoja na mdogowake wa kike( Mamake mdogo na MC Pilipili)
Inasemekana pia aliamua kutumia usafiri huo ili awahi kwenda kuchukua nguo maalumu aliyotarajia kuivaa siku hiyo ya harusi
Afrikana ni maeneo ya Mbezi Beach
Tunatoa pole nyingi kwa familia yote