TANZIA Mama Mzazi wa MC Pilipili afariki Dunia kwa ajali

TANZIA Mama Mzazi wa MC Pilipili afariki Dunia kwa ajali

Pole Sana kwa familia katika kipindi hiki kigumu Cha majonzi
 
khaaa! huu mwezi umejaa vifo sana, inaogopesha kwa kweli
 
Kaka disemba watu wanarudisha CHENJI KWA WAKUU.wafunge mahesabu..
Ndo maana kuna maduka ikifika mwezi wa 12 mwishoni mwishoni wanafunga mpaka january.wenye Mali wanapiga hesabu zao za mwaka unaoisha na za mwaka unaokuja
Miezi mingine hamnaga hajali sio? Hadi disemba?
 
expand...
Raha ya Milele umpe eeh Bwana na Mwanga wa milele umwangizie. apumzike wa Amani, Amina. Pole sana MC Pilipili
 
Wajuvi watufahamishe kuna uhusiano gani kupata ajali na kuhudhuria harusi, maana na mimi niliwahi kupata ajali ya gari nilipokuwa naenda kwenye harusi ya ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom