TANZIA Mama Mzazi wa MC Pilipili afariki Dunia kwa ajali

cc:mshanajr mkuu hivi hili jambo kiroho linamaana gani mzazi kufa siku ya harusi. pole sana kwa wafiwa
 
Mwisho wamwaka huu watu wamepukutika Sana.

R I P Mungu awatie moyo
 
Nyuma ya pazia vifo kuongozana mwisho wa mwaka
 
Mmh, hivi hio ajali ni ajali ya baskeli, gari, pikipiki ama kitu gani? Mbona its unclear. Mtu anakufa Sinza kwa ajali ambayo haisemwi wala picha hakuna?
 
So sad, unampoteza mama aliyekuwa kwenye harakati za kuja kuona harusi yako.

Anafunga ndoa ya pili?

Nafuatilia Kupata Ufafanuzi

RIP Mama MC Pilipili.

Huyo mwanao asipolia hadi kugalagala, mtokee usingizini na kumtandika makofi manake sote tulimshuhudia alivyokuwa analia wakati wa kumvika pete mchumba wake!

Mwanae yupi?

Mwanae yupi ?otherwise Pole sana Mc kwa kuondokewa na mama
Bi Marian Matebe(Mama Mc Pilipili) alikua amekuja kutoka Dodoma kuja kuhudhuria Harusi ya mtoto wake mwingine anaitwa Thomas Mathias(Tom, mdogo wake Mc Pilipili)

Na nadhani ndoa ilishafungwa kabisa ila wakaenda kubadilisha nguo kwa ajili ya sherehe ya ukumbini ndo wakati wanarudi mauti yakamkuta. Amefariki yeye mama pamoja na mdogo wake(Ma mdogo wa Mc Pilipili)

Mungu awarehemu

View attachment 1655313View attachment 1655314View attachment 1655315
 
Poleni Wote Kwa Msiba
Shukrani Sana Kwa Ufafanuzi !!
 
Bi Marian Matebe(Mama Mc Pilipili) alikua amekuja kutoka Dodoma kuja kuhudhuria Harusi ya mtoto wake mwingine anaitwa Thomas Mathias(Tom, mdogo wake Mc Pilipili)

Na nadhani ndoa ilishafungwa kabisa ila wakaenda kubadilisha nguo kwa ajili ya sherehe ya ukumbini ndo wakati wanarudi mauti yakamkuta. Amefariki yeye mama pamoja na mdogo wake(Ma mdogo wa Mc Pilipili)

Mungu awarehemu

View attachment 1655313View attachment 1655314View attachment 1655315
Asante kwa taarifa. Inasikitisha kweli
 
Mwendazake huyo akienda hudhuria harusi ya mtoto wake na kupata ajali hiyo mbaya usiku wa kuamkia Desemba 20,2020 maeneo ya Afrikana Jijini Dar es Salaam.

Tunatoa pole nyingi kwa familia yote
R.I.P ,pale njia panda ya africana pabaya sana. Kumbe walipanda mshikaki kwenye boda boda. Watu wanaweka rehani maisha yao. Nilishaapa siwezi panda boda boda kwenye lami/main roads hata siku moja.
 
Sikukuu chungu sana kwa famili ya pilipili

R.I.P mama.

Msiba unauma sana
 
Mama apumzike kwa amani
Poleni wafiwa
 
Back
Top Bottom