TANZIA Mama Mzazi wa MC Pilipili afariki Dunia kwa ajali

Mmh, hivi hio ajali ni ajali ya baskeli, gari, pikipiki ama kitu gani? Mbona its unclear. Mtu anakufa Sinza kwa ajali ambayo haisemwi wala picha hakuna?
Mwanzon hata mm nilijua ni ajali ya gari nilishangaa sana ajali kuuwa wawili hlf eneo lenyewe sinza. Kumbe walipanda boda. Rip
 
Mwendazake huyo akienda hudhuria harusi ya mtoto wake na kupata ajali hiyo mbaya usiku wa kuamkia Desemba 20,2020 maeneo ya Afrikana Jijini Dar es Salaam.

Tunatoa pole nyingi kwa familia yote
Najaribu kuwaza kwa sauti kwamba walikosaje gari ya kumhudumia mama yake mzazi aliyepata ajali ya bodaboda akiwa anaelekea nyumbani kubadilisha nguo kwa ajili kuingia ya ukumbini kwenye harusi ya mdogo wake MC Pilipili ⁉️

Inasemekana mama yake alikuwa na nguo specific antaka kuivaa ikabidi aifate kwa fundi chap na boda boda maana mda wa kwenda Ukumbini ulishafika.
 
Mwendazake huyo akienda hudhuria harusi ya mtoto wake na kupata ajali hiyo mbaya usiku wa kuamkia Desemba 20,2020 maeneo ya Afrikana Jijini Dar es Salaam.

Tunatoa pole nyingi kwa familia yote
Pole yake na kwa Familia, ila nimeshangaa kuona mahala kuwa alipanda Bodaboda wakati najua Mwanae hujitapa kuwa na Utajiri mkubwa nchini.
 
Huyo mama na mdogo wake wakiwa shughuli inaanza waliamua kutoroka kwa toyo kwenda salasala chap kwa pikipiki bila kuaga ndio wakakutwa na janga hilo
 
Najaribu kuwaza kwa sauti kwamba walikosaje gari ya kumhudumia mama yake mzazi aliyepata ajali ya bodaboda akiwa anaelekea nyumbani kubadilisha nguo kwa ajili kuingia ya ukumbini kwenye harusi ya mdogo wake MC Pilipili [emoji3480]

Mama mwenyewe alitoroka bila kuaga akachukua toyo mc pilipili Wana mtafta haonekani ndio kupigiwa simu ajali imetokea
 
Najaribu kuwaza kwa sauti kwamba walikosaje gari ya kumhudumia mama yake mzazi aliyepata ajali ya bodaboda akiwa anaelekea nyumbani kubadilisha nguo kwa ajili kuingia ya ukumbini kwenye harusi ya mdogo wake MC Pilipili ⁉️

Msiba huu ni mkubwa kwa familia na wazawa wa mkoa Dodoma. Watu wanasema mengi kwa tukio hili kama kawaida yao; lakini Mungu ndiye anayefahamu kweli yote kabla tukio.
 
Halafu kuna mtu nilipomuhadithia mimi na boda boda mbali mbali akanishawishi sana anipandishe eti hata kwa nusu saa tu! 😳 maisha ni matamu sana. RIP mama. Anniversary ya harusi unaisherehekea vipi ikiwa siku hiyo hiyo mama alifariki? Harusi iliendelea baada ya maharusi kufahamu mama mzaa Chema kazimika?

Back
Top Bottom