TANZIA Mama Mzazi wa MC Pilipili afariki Dunia kwa ajali

Mwendazake huyo akienda hudhuria harusi ya mtoto wake na kupatwa na ajali hiyo mbaya usiku wa kuamkia Desemba 20,2020 maeneo ya Afrikana Jijini Dar es Salaam.

Bwana Harusi aendaye kwa jina la Tom ni nduguye na MC Pilipili na Mamayao aliwasili Jijini Dar es salaam akitoke Dodoma ili kuhudhuria sherehe hiyo.

Taarifa zinadai mwendazake huyo alipata ajali hiyo mbaya iliyochukua uhai wake akiwa amepanda bodaboda moja almaarufu mishkaki pamoja na mdogowake wa kike( Mamake mdogo na MC Pilipili)

Inasemekana pia aliamua kutumia usafiri huo ili awahi kwenda kuchukua nguo maalumu aliyotarajia kuivaa siku hiyo ya harusi

Afrikana ni maeneo ya Mbezi Beach

Tunatoa pole nyingi kwa familia yote
Ila alipanda pikipiki
 
Kikweli huyu jamaa kazingua sana inashangaza hata anavyojilizaliza kule insta. Labda anajiongezea folowaz kiaina.

Ww supastaa unamwachia bi mkubwa aning'inie kwene boda hlf wamepanda mtungo na dere watatu....haaaaaa come ooon!!. Hiv mambo zngine kumtafuta mungu maneno tu.
 
Bodaboda ni usafiri hatari sana kwenye barabara yenye magari mengi....Pili madereva wengi wa bodaboda si madereva kabisa ni mtu tu anjifunza leo kuendesha bodaboda baada ya siku mbili anaenda kwa muhindi na laki yake anapewa boda ya mktaba anaingia barabarani kula vichwa! Madereva wa bodaboda wanaojielewa hawazidi 5% yaani katika 100 unapata wa 5 wanaojielewa.
Dah kuna siku nilipanda boda,
Nikawa simwelewi Nikamuuliza dogo vipi?!!

Akavuta pumzi akaniambia sister wewe ndo abiria wangu wa kwanza bado sijaiweza vizuri[emoji41][emoji41]
 
na jamaa huyo mc yupo tu anapiga mastory sijui mama wa taifa blaaa blaaaa kafa hivi we mamako kafa hata nguvu kubwabwaja unatoa wapi?
Mi ningezima kila kiitu na ninatangaza nimempoteza mama kwaherini.
 
Pole kwa wana familia! Wapumzike kwa Amani!
 
na jamaa huyo mc yupo tu anapiga mastory sijui mama wa taifa blaaa blaaaa kafa hivi we mamako kafa hata nguvu kubwabwaja unatoa wapi?
Mi ningezima kila kiitu na ninatangaza nimempoteza mama kwaherini.
Upeo
 
Dah kuna siku nilipanda boda,
Nikawa simwelewi Nikamuuliza dogo vipi?!!

Akavuta pumzi akaniambia sister wewe ndo abiria wangu wa kwanza bado sijaiweza vizuri[emoji41][emoji41]
Yes ndio ukweli wenyewe ,mie naishi nao na napiga nao story sana hawa bodaboda!! Wengi ni Empty Set.
 
Na wewe abiria usiyevaa helmet na unakubali kupanda Mshkaki si ni sawa na Bodaboda Empty Set tu!!!... .Hii ajali ya Mamaye MC ituamshe akili... Hichi ni kifo cha kujitakia some times.
 
Kikweli huyu jamaa kazingua sana inashangaza hata anavyojilizaliza kule insta. Labda anajiongezea folowaz kiaina.

Ww supastaa unamwachia bi mkubwa aning'inie kwene boda hlf wamepanda mtungo na dere watatu....haaaaaa come ooon!!. Hiv mambo zngine kumtafuta mungu maneno tu.
Halafu ni siku ya harusi! MC hajui kama mama mzaa chema anaandaliwa usafiri wake siku ya harusi? Huu ukanjanja umezidi kipimo sasa!
 
Kwahiyo walipanda mshikaki,mc pilipili si tajiri wa dom
Walichukua Toyo kuwahi kuchukua nguo Tena hawakuhaga mtu ukumbini, maana mama aliambiwa ataletewa nguo, asubiri, mdogo wake akamkokota
 
Kifo wakati mwingine kinakuita tu ili ukafe. Tayari uko ukumbini bado roho haitulii unaenda kwa fundi kuchukua nguo.

Likiandikwa limeandikwa.
 
Kuna elements za dharau kwenye post hii,au wewe ni mzito kujiongeza.Wewe hujui board inatutoaga hasa kama kuna foleni na umechelewa unakokwenda? inawezekana siyo kwamba ni suala la uwezo kuwa mdogo bad timing too.Hiv huwezi tuu kujiuliza siku ya harusi ya mtoto wako usafiri usafiri na bodaboda.hata kama huna gari
Unapandaje mshikaki?
Yaani kabisa mnakuwa watu watatu kwenye chombo cha magurudumu mawili kinachotakiwa kisibebe zaidi ya watu wawili!!
 
Mwendazake huyo akienda hudhuria harusi ya mtoto wake na kupatwa na ajali hiyo mbaya usiku wa kuamkia Desemba 20,2020 maeneo ya Afrikana Jijini Dar es Salaam.

Bwana Harusi aendaye kwa jina la Tom ni nduguye na MC Pilipili na Mamayao aliwasili Jijini Dar es salaam akitoke Dodoma ili kuhudhuria sherehe hiyo.

Taarifa zinadai mwendazake huyo alipata ajali hiyo mbaya iliyochukua uhai wake akiwa amepanda bodaboda moja almaarufu mishkaki pamoja na mdogowake wa kike( Mamake mdogo na MC Pilipili)

Inasemekana pia aliamua kutumia usafiri huo ili awahi kwenda kuchukua nguo maalumu aliyotarajia kuivaa siku hiyo ya harusi

Afrikana ni maeneo ya Mbezi Beach

Tunatoa pole nyingi kwa familia yote

Huku ajali ya gari na kule ajali ya bodaboda tushike lipi
 
Ila binaadamu hapana! Wape kichwa Cha habari Kisha habari wataitengeneza wenyewe.

Wangapi humu wakiwa na haraka wanatumia bodaboda? Au huyo marehemu ndio wa kwanza!?

Au Kuna sehemu imeandikwa watu Fulani ni marufuku kutumia bodaboda?

Na ni Mara ngapi watu wanaficha Jambo fulani kuwaeleza watu kwa muda huo huo kutokana na madhara yatayojitokeza ikiwa wataambiwa ghafla?

Watu wanahukumu Sana jamani.

Kifo kikifika siku yake, kinakuita na unakifuata.
Very true
 
na jamaa huyo mc yupo tu anapiga mastory sijui mama wa taifa blaaa blaaaa kafa hivi we mamako kafa hata nguvu kubwabwaja unatoa wapi?
Mi ningezima kila kiitu na ninatangaza nimempoteza mama kwaherini.
Huyu jamaa kichwa chake sio kizima[emoji848][emoji848]

Yaan kule insta kila dk tano anapost video yeye na mamaake huku akishushia na mgazeti huo[emoji848]

Hizo nguvu na vidole kutype anazipata wapi?

Ndo maana raia insta wanasema anyang'anywe simu
 
Back
Top Bottom