Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Rip!Mwendazake huyo akienda hudhuria harusi ya mtoto wake na kupata ajali hiyo mbaya usiku wa kuamkia Desemba 20,2020 maeneo ya Afrikana Jijini Dar es salaam.
Tunatoa pole nyingi kwa familia yote
Pale Africana kwa akina Mange Kimambi kuna shetani kwenye mbuyu!December hiyo hamna namna
Wana umuhimu gani kwa TaifaRip mama mc,,huu ni msiba mkubwa kwa taifa hili..