Kazi ya jiwe, na lemyewe ;imebaki mifupa mitupu sasa, sheitwani mkubwa johnthebaptistMama mzazi wa mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019.
Amefariki akiwa Hospitali ya Amana alikokuwa akip
View attachment 1308015
Soma pia: Mama Mzazi wa Erick Kabendera amuomba Rais Magufuli kumsamehe mwanae
Kazi ya jiwe, na lemyewe ;imebaki mifupa mitupu sasa, sheitwani mkubwa johnthebaptist
Jikite kwenye madaMjane hio mimba kama haukujifungua kipindi kile ndo basi tena. Kila mtu atakufa
Jikite kwenye mada
Nenda kahesabu kura za Madiwani 😄😄🔥Kazi ya jiwe, na lemyewe ;imebaki mifupa mitupu sasa, sheitwani mkubwa johnthebaptist
nani ashiriki ushetani wenu?Nenda kahesabu kura za Madiwani 😄😄🔥
Na kweli ilikua kubwa na haina mfano na haijawahi tokea..ulisema sahihi kabisa...Shocked!.
Kama ni kweli Eric Kabendera anashikiliwa kwa sababu ya kalamu yake hivyo hayo mengine yote ni kisingizio tu, na yeye ndiye alikuwa tegemeo la mama yake na mama yake amefariki baada ya kukosa huduma na usongo wa mawazo wa kukamatwa kwa mwanaye, then karma ya kifo cha huyu mama itakuwa ni kubwa na haina mfano!.
Karma is real na haina mswalie Mtume.
Pole sana Eric Kabendera
Mungu akufariji na Mungu akupiganie.
P
Kwanini usilipe wewe?CCM mtalipa haya yote.
Mambo kama haya ndio yanafanya nizidi kuamini ukuu wa Mungu siku zote.bila kuweka siasa mama kabendere ameacha laana moja nzito ambayo itatembea na mtu kama sio watu .
tena kama roho yake ilisamehe ndo mtaona cha moto mana atakachowaonesha Mungu mtajuta.
tuache dhambi ndugu zangu