Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahakama ipi? Nauliza kwa sauti ya wastani tu.RIP Mama.
Kiukweli muwe na akili kidogo tu, kila mama ya mtu akilia so mtuhumiwa aachiwe?
Acheni ufala nyinyi kabendera aenjoy tu makosa yake huko alipo.mahakama ndo itaamua kama kaonewa au kafanya makosa kweli
Hizo mlizonazo huko Africa
Tehe tehe laana ikurudie mwenyewe na kizazi chako,mwenye kazi ya kutoa laana ni Mungu,acha kujipa kazi isiokuhusuMUNGU amuweke mahala pema mama Kabendera..mnaosababisha mama zetu wafe kwa mawazo mlaaniwe vizazi vyenu vyote, mama zenu, shangazi zenu, binamu zenu, watoto wenu, wajukuu zenu na mpaka kuku wenu wafe pia kama ambavyo wamekufa ndugu zetu kwa sababu zenu!
Kwani nawe umeshiriki kumbambika kabendera?Tehe tehe laana ikurudie mwenyewe na kizazi chako,mwenye kazi ya kutoa laana ni Mungu,acha kujipa kazi isiokuhusu
Amejibambika mwenyeweKwani nawe umeshiriki kumbambika kabendera?
Ndugu hakuna mbinguni kwa mtu anayetaka wenzie waishi kama mashetani. Huyo ni mfuasi wa shetani.Kafariki jamani, wamehujumu aman ya moyo wake hadi Umauti kumpata
Hivi pale mbinguni tutajibu nini
Familia ya Erik Mpola nebyemba
Nani aliyeshikilia uhuru wakeAmejibambika mwenyewe
Makosa ya mwanabila kuweka siasa mama kabendere ameacha laana moja nzito ambayo itatembea na mtu kama sio watu .
tena kama roho yake ilisamehe ndo mtaona cha moto mana atakachowaonesha Mungu mtajuta.
tuache dhambi ndugu zangu
Mkuu najisikia sympathy sana kwenye tukio hili, ninachomaanisha ni kwamba mambo yetu mengi tunayoyafanya aidha yawe right au wrong tujitahidi tuwafikiria na wale wanaotutegemea kwa ukaribu zaidi kwa sababu chochote utachokifanya dhidi ya serikali lazima kiwe na madhara makubwa zaidi kwako.