Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Karogwa na mama yako.Tuma kwanza wewe. Hivi amekufa kwa ajali au kifo cha kawaida?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karogwa na mama yako.Tuma kwanza wewe. Hivi amekufa kwa ajali au kifo cha kawaida?
Nimesoma Maelezo ya huyu mtu nimejifunza kitu kuwa kumbe hata wauwaji wanamuogopa MUNGU yani amejitahid kweli kweli kuwa mnafiki yani ukisoma utagundua kuwa Alikuwa anatype Wakati huo huo dhamira yake ikimsuta yani anaongea kuonesha kuwa hili tukio kalifurahia Lakini roho yake ikiwa inamsuta anashindwa kutamka wazi yani anakuwa mzito wa kutamka wazi kutokana na dhamira yake kumsuta, yani huyu ni mla Nyama za binadamu Lakini dhamira inamsuta kuwa anachofanya au wanachofanya ni dhambi kubwa Sana Kwa MUNGU, dhamira inamzuia kuwa wazi anajikaza ajiweke wazi kufurahi kifo hiki Lakini dhamira inamzuia na kumkataza anajikuta anakimbilia sheria Kuelezea kuwa sheria hairuhusu, yani huyu ni sawa na mtu alieua halafu akaenda kwenye msiba utamuona anavyohangaika na huyu sio Mtoto huyu ni mtu mzima tena ni msomi na Yuko kwenye cheneli kubwa Lakini mwangalie anavyotapatapa mashtole nyie cleveverbright, wala Nyama za watu nyie, mmesababisha nilie Sana halafu mnakuja humu kutetea si mkae huko huko waja nini kuelimisha humu sasa watoto wa watu wajifunze Wakati wamebambikiziwa makes ya uongo kisa wanewakosoa? Au unataka kutuaminisha kuwa Yule Erick katenda kosa? Mmeshindwa kuwachukua waliopiga hela za umma wakajiita kuwa hivyo ni vijicenti, wakasema hizo ni hela za Mboga au watu Wa Richmond ndio mnawakamata watoto wa watu kisa wamewakosoa, shenzi Sana mijitu Kama hiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huna huruma huwezi kupata hisia ya tukio hili.Humu nahisi kuna watoto wengi sana mkuu wavumilie tu.
Watu tunapaswa kufanya tathmini kwa matendo yetu tunayofanya na athari zake kwa watu wa karibu.
Endelea kufaidi mapato ya unafiki.Laana inakujaje kwa mzee wa Chato ? Heshimuni mamlaka za nchi hamtaki maisha yenu ujanja unjanja tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyinyi ni makatili wa roho za watu! Basi hilo tu! Na waliomsaidia Jiwe kutekeleza ukatili watabeba msalaba vile vileKwani sisi ndio DPP?
Mbele za Mungu kila mtu ataubeba msalaba wake " yeye mwenyewe"
Ni rahisi kufurahia yanapomkuta mwenzako,hakuna mtu anasema kabendera aachiwe kwa kuwa mama yake "analia lia", kinacholeta mashaka ni aina na namna mashtaka yake yalivyoelezwa,ilionekana wazi kwamba makosa yake yanatafutizwa...RIP Mama.
Kiukweli muwe na akili kidogo tu, kila mama ya mtu akilia so mtuhumiwa aachiwe?
Acheni ufala nyinyi kabendera aenjoy tu makosa yake huko alipo.mahakama ndo itaamua kama kaonewa au kafanya makosa kweli
Ujuha wa watanzania wanadhani kuwa Rais ana mamlaka katika kila kitu. Na hii inasababishwa na wanasiasa wanaopenda kupotosha umma. Rais amuachie kwani yeye ndiye aliyemkamata? Tangu lini Rais akaiamrisha mahakama imuachie mtuhumiwa? Badala ya kwenda mahakamani kudai haki ya mtoto wenu mnakimbilia kumwambia rais amuachie. Mahakama ndiyo yenye mamlaka ya kumuachia mtuhumiwa na siyo Rais.Rais wa wanyonge huyu mama alikuomba umuachie mwanae kwani ndo anasimamia matibabu yake masikio ukaweka pamba....apumzike kwa amani na mwanga wa milele umuangazie
Na kuanzia Leo PASCAL ni mmuaji wa Mama Erick.ningekuwa Pascali nisingecoment kwenye uzi huu
Tunaisubiri na mtaona Comment zetu.Kuna mtu mzazi wake naye yupo kwenye critical condition.
I think siku atakayoondoka ndio atajua uchungu wa kufiwa na mama mzazi.
And I'm 100% sure watu watafurahia siku hiyo, hivyo maombolezo yake yatakuwa mara dufu. R.i.p mama kabendera.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hifadhi busara kidogo uliyobakiza kabla hujawa Zwazwa halisi.Kwani sisi ndio DPP?
Mbele za Mungu kila mtu ataubeba msalaba wake " yeye mwenyewe"
Mahakama ndo iliyomkamata,? Halafu na wewe unajiita njuaji??Ujuha wa watanzania wanadhani kuwa Rais ana mamlaka katika kila kitu. Na hii inasababishwa na wanasiasa wanaopenda kupotosha umma. Rais amuachie kwani yeye ndiye aliyemkamata? Tangu lini Rais akaiamrisha mahakama imuachie mtuhumiwa? Badala ya kwenda mahakamani kudai haki ya mtoto wenu mnakimbilia kumwambia rais amuachie. Mahakama ndiyo yenye mamlaka ya kumuachia mtuhumiwa na siyo Rais.
Uzi huko wap mkuuKuna jamaa. Humu anajiita Jonalist ndo alimchongea Erick kwa mamlaka!! Nadhani ana ujumbe ameupata!
Ndio machawi hayoHili MUNGU analiona, litakuwa hili nalo linalaaana hili au halijui lisemalo hili haya majitu yasiokuwa na familia yasiokuwa na utu yenye ushetani mnayaruhusu vipi kuingia kuchangia Mada Kama hiii iliyoumiza watu mioyo yao? Hivi majitu Kama haya yalizaliwa na nyani au yalizaliwa na binadam? Ukilichunguza jitu Kama hili utakuta Aidha kizazi chake kilikuwa cha ushetani Mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda nikuulize wew mzoefu wa kugongwa +kupigwa miti mikavuUsilete upumbavu wenu wa digrii za chupi hapa, watu mnagongwa mnapewa digrii Leo mnajiita wasomi?
Sent using Jamii Forums mobile app