TANZIA Mama mzazi wa Mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019

TANZIA Mama mzazi wa Mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019

Dah haya bwana mzee wa Chato hii laana haitakuacha salama. Pia hata wale wengine uliowafanyia uliyofanya pia subiri laana kuu! Sijawahi kuona kiongozi wa aina yako niseme kweli kabisa!
Alafu utawasikia wale wapambe wake akiwemo mtoto pendwa wakisema eti Mh Rais amepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha mama yetu "Mama Erick Kabendera.

Poleni sana ndugu zangu wote mlioguswa na msiba huu mwishoni mwa mwaka 2019.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RIP Mama.
Kiukweli muwe na akili kidogo tu, kila mama ya mtu akilia so mtuhumiwa aachiwe?
Acheni ufala nyinyi kabendera aenjoy tu makosa yake huko alipo.mahakama ndo itaamua kama kaonewa au kafanya makosa kweli
Humanless
 
Pumzika kwa Amani Mama Yetu!
Umeiacha Dunia kwa maumivu makali moyoni


Watesi wako hawalala usingizi wa Amani
Watesi wako watahukumiwa na Muumba
Watesi wako hawataipenda dunia tena


Tuonane ng'ambo ile!
 
Mkuu ebu jiulize pia; kwa nini jambo la mama Kabendera limeibua hisia za wengi. Ni kweli kuwa wapo wamama wengi ambao wana watoto kama mama Kabendera na yumkini kuwa nao wako korokoroni kama Kabendera, hoja inayoletwa hapa ni hofu ya Kabendera kubebeshwa dhambi isiyomhusu huku watawala wakiwa wanaongozwa na hofu ya kalamu ya kabendera.
Lala salama mama
Wakina mama wangapi watoto wao wapo jela? Kwahiyo kila mama aombe kwa Rais mtoto wake aachiwe? Sisi tulisikia kilio cha Mama Erick hata hatukuweza kutoa msaada wowote huku tukijua fika msaada wetu pia ulihitajika,Hivi mpaka sasa hatuwezi kujua sababu ya haya yote mpaka tunamtupia lawama mtu asiye husika? Au kwasababu tunafikira mbaya huku tukiaminisha watu kwamba sisi ni wema huku tunajificha kwenye shamba la karanga? Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali anapostahili.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MUNGU amuweke mahala pema mama Kabendera..mnaosababisha mama zetu wafe kwa mawazo mlaaniwe vizazi vyenu vyote, mama zenu, shangazi zenu, binamu zenu, watoto wenu, wajukuu zenu na mpaka kuku wenu wafe pia kama ambavyo wamekufa ndugu zetu kwa sababu zenu!
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna dalili ya mtu kula laana mbaya sana. Hakuna mswalia mtume katika hilo.

R.I.P Mama Eric Kabendera
 
Wee jinga mahakama gani iamue wakati kila akipelekwa mahakamani wanaambiwa upelelezi bado. Yani mtu anakamatwa mwaka unaisha kila siku upelelezi bado hayo mashtaka aliyafanyia ahera ambako hawawezi kupata ushahidi? Siku nyingine ujinga wako weka pembeni huko!
Kelele pumbavu ww mahakama hizo za hapo hujawahi pata kesi ukazionja.
Kwani hujui zinafanyaje kazi?mi najua so kabla hujalaumu mahakama jilinde usifanye kosa kienyejienyeji.
 
Hili MUNGU analiona, litakuwa hili nalo linalaaana hili au halijui lisemalo hili haya majitu yasiokuwa na familia yasiokuwa na utu yenye ushetani mnayaruhusu vipi kuingia kuchangia Mada Kama hiii iliyoumiza watu mioyo yao? Hivi majitu Kama haya yalizaliwa na nyani au yalizaliwa na binadam? Ukilichunguza jitu Kama hili utakuta Aidha kizazi chake kilikuwa cha ushetani Mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kelele,kenge we
 
Kwa wenye kumbu kumbu aliomba akisema Mwanaye wanamtegemea kwa kila kitu ata kwa ugonjwa unao msumbua Dawa alikuwa anagaramia yeye .Dunia hii naona uchungu mpaka nashidwa kula.

Siyo ndugu yangu lakini Ukweli wamekatisha Maisha yake/wamemuua kwa kuondoa msaada wake

Poleni sana wafiwa.R.I.P Bibi yetu/ mama yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom