TANZIA Mama mzazi wa Mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019

TANZIA Mama mzazi wa Mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019

Hivi wewe kenge unaongelea nini? Hivi mwanaume unakuaje hadi unakua mjinga kiasi hiki? Kwa nini unaakiri ya kijinga kiasi hiki? Mbona inaonekana kuwa ni moja ya wala Nyama za watu ambao wote huwa wamepata Elimu wewe umeokotwa wapi? Umesema hawez ingilia yeye sio Mahakama umeshindwa kujiongeza kidogo kujiuliza kuwa kwani kukamatwa kwake ilimkamata Mahakama? Umekuja unazungumza kuwa hana uwezo wa kumtoa, umeelezwa kuwa mbona wenzake walitoka Kwa maelekezo yake? Unaanza tena unajua taratibu zilizotumika, zilitumika taratibu zipi Kwa wengne kwake zikashindikana? Na taratibu si nizile alizoagiza kwenye TV Kuwa watolewe au zipo zingne? Subiri mtatafunwa na laaana woote vizazi vyenu hadi mtajuta, laaana ya Yule bibi haitawaacha lishtole wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unatokwa povu kiasi hicho kama malaya aliet***mbwa bure?

Acha kupanic kipumbavu hivo

Hv unayajua makosa ya Kabendera? au unaropoka tuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shocked!.
Kama ni kweli Eric Kabendera anashikiliwa kwa sababu ya kalamu yake hivyo hayo mengine yote ni kisingizio tu, na yeye ndiye alikuwa tegemeo la mama yake na mama yake amefariki baada ya kukosa huduma na usongo wa mawazo wa kukamatwa kwa mwanaye, then karma ya kifo cha huyu mama itakuwa ni kubwa na haina mfano!.
Karma is real na haina mswalie Mtume.
Pole sana Eric Kabendera
Mungu akufariji na Mungu akupiganie.
P
Hiyo Karma hata wewe "shakunaku" haitakuacha, usijikoshe ukadhana sisi ni wasahaulifu kiasi hicho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Erick angekuwa mhalifu kweli,isingekuwa nongwa kwani ingekuwa haki yake...
Lakini kama alishtakiwa kwa mashtaka ya kusingiziwa,tu kwa sababu yakutokubaliana na sera za waliopo madarakani,na wenye mamlaka wakaamua kumkomesha kwa sababu tu haungi mkono sera za wenye nguvu,hakika NI DHAMBI KUBWA KWANI MADHARA YA KUMKOMOA ERICK YAMEPELEKEA MAMA MZAZI KUKOSA HUDUMA NA KUPELEKEA KIFO CHAKE...

Hali hiyo inajenga chuki sio tu kwa ndugu wa Erick,lakini pia kwa raia wengine wenye mioyo ya kibinadamu,chuki hii itakuwa na madhara makubwa kwenye jamii yetu...

Najaribu kutafakari juu ya wooote waliokutana na dhahama zinazoambatana na chuki za kukomoana,na si kwa misingi ya kisheria,tunagawanyika pasipo sababu za msingi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
P
Baki na amani sasa mwenzio kafiwa mama kwa sononi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mujibu wa bro mmija humu ni kuwa Rais halogeki sababu ana ulinzi mkubwa mno wa kiroho kwa kupugiwa kura na mamilioni ya watu...... Nawaza tu je laana pia hazimpati ?
 
Ni kawaida yetu kama watanzania na imezoeleka palee tunapokutwa na msiba wenye kuvuta hisia za watanzania wengi viongozi wetu hutoa salamu za rambirambi kwa ndugu jamaa na familia ya wafia

Kama tulivyozoea, tunaomba kusikia salamu za rambirambi zikitumwa kwa wanafamilia na ndugu wa mama mzazi wa Erick Kabendela aliyefariki leo hii


Huu msiba ni wetu sote
Salaam kutoka kwa wauaji zitasaidia nini? Nani anazihitaji salaam za kinafiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom