TANZIA Mama mzazi wa Mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019

TANZIA Mama mzazi wa Mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019

Nimesoma Maelezo ya huyu mtu nimejifunza kitu kuwa kumbe hata wauwaji wanamuogopa MUNGU yani amejitahid kweli kweli kuwa mnafiki yani ukisoma utagundua kuwa Alikuwa anatype Wakati huo huo dhamira yake ikimsuta yani anaongea kuonesha kuwa hili tukio kalifurahia Lakini roho yake ikiwa inamsuta anashindwa kutamka wazi yani anakuwa mzito wa kutamka wazi kutokana na dhamira yake kumsuta, yani huyu ni mla Nyama za binadamu Lakini dhamira inamsuta kuwa anachofanya au wanachofanya ni dhambi kubwa Sana Kwa MUNGU, dhamira inamzuia kuwa wazi anajikaza ajiweke wazi kufurahi kifo hiki Lakini dhamira inamzuia na kumkataza anajikuta anakimbilia sheria Kuelezea kuwa sheria hairuhusu, yani huyu ni sawa na mtu alieua halafu akaenda kwenye msiba utamuona anavyohangaika na huyu sio Mtoto huyu ni mtu mzima tena ni msomi na Yuko kwenye cheneli kubwa Lakini mwangalie anavyotapatapa mashtole nyie cleveverbright, wala Nyama za watu nyie, mmesababisha nilie Sana halafu mnakuja humu kutetea si mkae huko huko waja nini kuelimisha humu sasa watoto wa watu wajifunze Wakati wamebambikiziwa makes ya uongo kisa wanewakosoa? Au unataka kutuaminisha kuwa Yule Erick katenda kosa? Mmeshindwa kuwachukua waliopiga hela za umma wakajiita kuwa hivyo ni vijicenti, wakasema hizo ni hela za Mboga au watu Wa Richmond ndio mnawakamata watoto wa watu kisa wamewakosoa, shenzi Sana mijitu Kama hiii

Sent using Jamii Forums mobile app

Ngoja niwaachie Members wengine hapa waniambie Kosa langu ni lipi hasa kwa kile ambacho nimekiandika ambacho Kimekukwaza.
 
RIP Mama.
Kiukweli muwe na akili kidogo tu, kila mama ya mtu akilia so mtuhumiwa aachiwe?
Acheni ufala nyinyi kabendera aenjoy tu makosa yake huko alipo.mahakama ndo itaamua kama kaonewa au kafanya makosa kweli
Ni rahisi kufurahia yanapomkuta mwenzako,hakuna mtu anasema kabendera aachiwe kwa kuwa mama yake "analia lia", kinacholeta mashaka ni aina na namna mashtaka yake yalivyoelezwa,ilionekana wazi kwamba makosa yake yanatafutizwa...

Anyway,katika yooote wanaomtesa wanaujua ukweli Kama wanamuonea au ni stahili yake kwa makosa ya uhujumu uchumi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa wanyonge huyu mama alikuomba umuachie mwanae kwani ndo anasimamia matibabu yake masikio ukaweka pamba....apumzike kwa amani na mwanga wa milele umuangazie
Ujuha wa watanzania wanadhani kuwa Rais ana mamlaka katika kila kitu. Na hii inasababishwa na wanasiasa wanaopenda kupotosha umma. Rais amuachie kwani yeye ndiye aliyemkamata? Tangu lini Rais akaiamrisha mahakama imuachie mtuhumiwa? Badala ya kwenda mahakamani kudai haki ya mtoto wenu mnakimbilia kumwambia rais amuachie. Mahakama ndiyo yenye mamlaka ya kumuachia mtuhumiwa na siyo Rais.
 
Ujuha wa watanzania wanadhani kuwa Rais ana mamlaka katika kila kitu. Na hii inasababishwa na wanasiasa wanaopenda kupotosha umma. Rais amuachie kwani yeye ndiye aliyemkamata? Tangu lini Rais akaiamrisha mahakama imuachie mtuhumiwa? Badala ya kwenda mahakamani kudai haki ya mtoto wenu mnakimbilia kumwambia rais amuachie. Mahakama ndiyo yenye mamlaka ya kumuachia mtuhumiwa na siyo Rais.
Mahakama ndo iliyomkamata,? Halafu na wewe unajiita njuaji??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili MUNGU analiona, litakuwa hili nalo linalaaana hili au halijui lisemalo hili haya majitu yasiokuwa na familia yasiokuwa na utu yenye ushetani mnayaruhusu vipi kuingia kuchangia Mada Kama hiii iliyoumiza watu mioyo yao? Hivi majitu Kama haya yalizaliwa na nyani au yalizaliwa na binadam? Ukilichunguza jitu Kama hili utakuta Aidha kizazi chake kilikuwa cha ushetani Mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio machawi hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So sad,pumzika kwa amani mama.Pole kwa WAFIWA WOTE,NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI.
 
RIP mamaa.
Napata tabu kidogo hapa. Hivi mtuhumiwa yoyote anaweza kuachiwa kabla mahakama haijadhibitishwa mashitaka juu yake kisa ana mgonjwa, watoto au majukumu fulani? ( wajuzi wa sheria mtusaidie).
Endapo kasingiziwa na mtu kwakweli tutupe lawama ila vinginevyo uwezo wetu wa kufikiri ni shiiida tulio wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amen
Screenshot_20191231-181702.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom