TANZIA Mama mzazi wa Mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019

TANZIA Mama mzazi wa Mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019

Shocked!.
Kama ni kweli Eric Kabendera anashikiliwa kwa sababu ya kalamu yake hivyo hayo mengine yote ni kisingizio tu, na yeye ndiye alikuwa tegemeo la mama yake na mama yake amefariki baada ya kukosa huduma na usongo wa mawazo wa kukamatwa kwa mwanaye, then karma ya kifo cha huyu mama itakuwa ni kubwa na haina mfano!.
Karma is real na haina mswalie Mtume.
Pole sana Eric Kabendera
Mungu akufariji na Mungu akupiganie.
P
Na kweli ilikua kubwa na haina mfano na haijawahi tokea..ulisema sahihi kabisa...
 
Mi naamini mwanzo wa mwisho wa utawala wa bwana yule ulianzia hapa.

Kifo cha huyu bibi hakikufika ghafla alikua na taarifa nacho kabisa.

Kweli mtu anatakatisha fedha halafu mama yake anakosa pesa za dawa kweli?
 
bila kuweka siasa mama kabendere ameacha laana moja nzito ambayo itatembea na mtu kama sio watu .
tena kama roho yake ilisamehe ndo mtaona cha moto mana atakachowaonesha Mungu mtajuta.

tuache dhambi ndugu zangu
Mambo kama haya ndio yanafanya nizidi kuamini ukuu wa Mungu siku zote.
 
Back
Top Bottom