Usije na hukumu Kama hiyo mkuu. NI ya kishabiki mnoKafariki jamani, wamehujumu aman ya moyo wake hadi Umauti kumpata
Hivi pale mbinguni tutajibu nini
Familia ya Erik Mpola nebyemba
So very sadMama mzazi wa mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019. Mtu wa karibu na familia amethibitisha
View attachment 1308015
Jaji mkuu ameshauri uchunguzi uwe unakamilika mapema kabla ya mtu kukamatwa ili kupunguza mlundikano wa kesiRIP Mama.
Kiukweli muwe na akili kidogo tu, kila mama ya mtu akilia so mtuhumiwa aachiwe?
Acheni ufala nyinyi kabendera aenjoy tu makosa yake huko alipo.mahakama ndo itaamua kama kaonewa au kafanya makosa kweli
Wee jinga mahakama gani iamue wakati kila akipelekwa mahakamani wanaambiwa upelelezi bado. Yani mtu anakamatwa mwaka unaisha kila siku upelelezi bado hayo mashtaka aliyafanyia ahera ambako hawawezi kupata ushahidi? Siku nyingine ujinga wako weka pembeni huko!RIP Mama.
Kiukweli muwe na akili kidogo tu, kila mama ya mtu akilia so mtuhumiwa aachiwe?
Acheni ufala nyinyi kabendera aenjoy tu makosa yake huko alipo.mahakama ndo itaamua kama kaonewa au kafanya makosa kweli
Hujakosea Mkuu..
Ukikaa nyuma ya keyboard usisahau kuhusu ubinadamu wako. Muda mwingine usitake kuthibitisha una akili maana kuna matukio yanahitaji busara na hekma na mtu mzima kuzikosa hizi ni kuwa hopeless.RIP Mama.
Kiukweli muwe na akili kidogo tu, kila mama ya mtu akilia so mtuhumiwa aachiwe?
Acheni ufala nyinyi kabendera aenjoy tu makosa yake huko alipo.mahakama ndo itaamua kama kaonewa au kafanya makosa kweli
Shocked!.Mama mzazi wa mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019. Mtu wa karibu na familia amethibitisha
View attachment 1308015