TANZIA Mama mzazi wa Mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019

Acha unafki basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee...R.I.P; Mungu awape nguvu familia ya marehemu. Hivi kwanini tunalazimishwa kuishi kwa huzuni na kikundi cha wachache?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabendera nayo atakufa kwa simanzi ya mama yake..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasalam ndugu wana JF, kwa kweli nimeshtushwa sana na kifo cha huyu mama ambaye yapata mwezi tu alionekana kwenye social media akiiomba serikali kumsamehe mwanae kwani ndiye anayemtegemea kwenye matibabu yake.

Nimewaza sana juu ya mahali tulipo.
Nimewaza sana juu ya maana ya msamaha.
Nimewaza sana juu ya laana.
Nimewaza sana juu ya mateso ya kifo cha Mama Kabendera, najua hakufa kwa amani, amekufa na maumivu mazito.
Nawaza alitamka nini akilini mwake, na picha ya nani ilimjia juu ya hali aliyokuwa akiipitia mpaka kifo chake.

Mwisho katika tafakari yangu nimekuja kujikuta nimo katika maisha ya Uchina ya Mwenyekiti Mao na Korea ya Kusini yaMmwenyekiti Kim.

Nimeamka kumbe kumekucha. RIP Mama Kabendera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati nasoma nilihamisha mawazo yangu kwa Jezebel mkewe mfalme Ahabu alivyompiga mkwara nabii Eliya na kumkimbia mwanamke ali aokoke, hii ni jinsi waovu wanavyowakandamiza wenye haki ambao wanamtegemea Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haki ya kweli itapatikana Mbinguni kwa wale wanaoamini. Pumzika kwa amani Mama
 
RIP Mama.
Kiukweli muwe na akili kidogo tu, kila mama ya mtu akilia so mtuhumiwa aachiwe?
Acheni ufala nyinyi kabendera aenjoy tu makosa yake huko alipo.mahakama ndo itaamua kama kaonewa au kafanya makosa kweli
Itawezaamua bila maagizo?
 
Halafu haya majitu yanajiita viongozi wa dini badala ya kukemea haya maonevu yanakenua meno. Hasa hili li Pengo na Salum, yalaaniwe mashetani ya uwakala wa shetani eti ni viongozi wa dini!
RIP mama! Nenda kawashitaki kwa Mungu awapatilize na adhabu hapa duniani!
 
RIP Mama.
Kiukweli muwe na akili kidogo tu, kila mama ya mtu akilia so mtuhumiwa aachiwe?
Acheni ufala nyinyi kabendera aenjoy tu makosa yake huko alipo.mahakama ndo itaamua kama kaonewa au kafanya makosa kweli
Kwahiyo na wewe unaamini Erick alitakatisha pesa na kuhujumu uchumi, na upelelezi wa kesi yake ni mgumu sana kukamilika, na kwamba wako sawa wanavyoipiga danadana kesi yake? Ubarikiwe mkuu kwa mawazo yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…